Niwafanye nini hawa watu..?

Wewe ni mwanamke na Nusu..
Talking from experience,tuna hadithi ya upande mmoja laiti tungekuwa na upande wa mwanaume nakuhakikishia Watu Wangebalansi na wangekuwa na Akiba ya Maneno.
Mimi ilinikuta Hii, Bibie akaleta mbwembe na vile ana Kazi ,alitegea Nipo Zangu kwenye harakat Zangu,akabeba Kila kitu na Watoto, yaaani nilikuta Hakuna hata ndoo ya chooni,nakakausha Wala sijamtafuta Wala Nini, Wewe now Days anaomba hata Kuwa mchepuko.
 
Nguvu zangu zina matumizi muhimu zaidi ya hayo.
Samahan Kama nitakukwaza.
Tangu mwanzo haujashauri jambo la Maana,ni Kama ushauri Wako unaongozwa na Chuki Fulani hivi dhidi ya wanaume.
My point ni kwamba hapa tunao upande mmoja,wa pili Hatuna.
Pili Kuna Watu wamediriki kumuita mwana muuaji, Mara anachangamoto ya Afya ya Akili,Nyie Nyie,Sisi wanaume ni Watu na Nusu kwenye aspects zote ni vile TU sio Watu wa kukaa na kuanza kuelezea.kwa kifupi mwanaume kujielezea elezea sio maumbile Yetu.
 
Ukweli mchungu sana
 
Wewe ni mwanamke Haswa Tena mwenye Hekima .
Ninachokiona Hapa,Gen Z ndi wapo mstari wa mbele kumfeed Ujinga Huyu mlengwa..Mwanamke hata iweje hawez Kwenda 50/50 na Mwanaume.
Kama sio Soga za mtandaoni, Basi anatakiwa Akusome na Akuelewe vizr kabisa.
 
Sina chuki yoyote dhidi ya wanaume mkuu, nimeolewa tena ndoa yenye furaha sana. Ambacho mimi sikubaliani nacho ni mtu kuvumilia manyanyaso iwe me au ke. Ndoa inapaswa kuwa sehemu ya amani ya moyo sio sehemu ya kupigana matukio ya ajabu yanayoumiza moyo. Hakuna mkamilifu na wote tunakoseana ila vitendo kama kupigwa,kuchepuka ni deal breakers kwangu haijalishi jinsia ipi imehusika kwenye kutenda. Mimi ni aina ya watu wanaoamini kwenye sheria ya 0 or 1 pale linapokuja suala la mahusiano. Ni aidha wote tunajitoa kikamilifu au hayo mahusiano yasiwepo kabisa.Sio kuhamasisha watu wavumilie vitu ambavyo kiuhalisia havitakiwi kuwepo. Kama mtoa mada anadanganya mi siwezi kuthibitisha ila mimi kwa jinsi nilivyo,siwezi kumwambia mtu abaki sehemu ambayo anapitia matukio mfano vipigo. Kuna vitu vya kuvumilia eg makwazo ya hapa na pale,magonjwa na anguko la kiuchumi sio vipigo na usaliti.
Na kuhusu uuaji, ndio hata mimi nimesema ni muuaji maana nimeshuhudia matukio ya wanaume wakiua wake zao kwa vipigo, na hao wote walianza kwa kuwapiga wake zao kidogo kidogo halafu wanawake wanavumilia hadi siku walipouwawa kwa kuvumilia kupigwa. Na kama hujawahi kukutana na matukio ya mwanamke kuuwawa na vipigo basi pitia hata tukio la muimbaji wa Nigeria aliyeitwa Osinachi aliyeuwawa kwa vipigo vya mumewe. Kwangu mimi mwanaume yoyote anayempiga mwanamke ni muuaji,mwanaume ana maguvu sana, makofi yake tu mwanamke anaweza kubadilika jina na kuwa marehemu.
 
Lakini kama nimesoma Vzr na kuielewa mada,Mleta Uzi kasema aliwah kupigwa Mara Moja,hata Hiyo mara Moja Sio Sawa , Lakini ametuambia reason Behind?
Najarib kukuelewa na nikupe Hongera Kwa Ndoa Bomba na yenye Furaha..but hautakiwa kugeneralize to Mambo.. Maisha yetu yanatofautiana kuanzia,Mila,Desturi,Makuzi na kadha wakadha.. my point ni kwamba Hatujui weakness Pia za mleta Uzi Kwa mumewe.
 
Bongo inabidi mje mkubali 'open relationship' haya mambo ya kua na mtu mmoja tu hadi kifo kiwatenganishe uongo bhana, nunueni kondoms ziwe mlangoni kila mmoja akijisikia anabeba zikiisha mnajaza zingine ila kuchepuka kupo kikubwa heshima na uajibikaji tu.
 
Heshima nikitu cha buree na umemuoa ndio shida kubwa unge acha kuoa uwe single hapo asingekuwa na haki nawewe .
Ila maisha sio kuhangaika na hawa wapuuzi nikukaa kimyaa
 
Heshima nikitu cha buree na umemuoa ndio shida kubwa unge acha kuoa uwe single hapo asingekuwa na haki nawewe .



Ila maisha sio kuhangaika na hawa wapuuzi nikukaa kimyaa


Mbunye zinakinaisha yani.... yani miaka yote tuishi wote nile tobo moja tu ? Hakuna mwanaume wa hivo.... kikubwa heshima tu ndani iwepo, pia ahudumie familia, asijisahau
 
Mkuu,sisemi kwamba mleta mada hana kosa,ila mimi linapokuja suala la mwanaume kupiga mwanamke,hakuna sababu yoyote ya kuhalalisha, haipo. Mwanaume anaweza kusema" namzaba tu kakofi" ila kwa sababu mwanaume ana maguvu yakatokea mengine. Kuna njia za kusuluhisha mambo tofauti na kipigo. Na kama mtu anaona hasira zimezidi,bora akatafute sehemu akapunge hata upepo. Hivi ukimdhuru binti wa watu,wazazi wake watakuelewa utakapoanza kuelezea sababu iliyofanya umpige??. Kumbuka hata yule mwanaume aliyemchoma mke wake kwa magunia ya mkaa Kigamboni, ilikuwa tu kwenye purukushani akamdondosha mke wake na mke akafa pale pale,kuficha siri akaamua kumchoma. Hata kama mke wake ana makosa, kuna aliyemuelewa baada ya lile tukio??. Wanaume mna maguvu sana na mnalijua hilo, tumieni maguvu yenu kwenye mambo mengine na sio kumpiga mwanamke.
 
Bongo watu wanataka wafunge ndoa ili kuleta heshima kwenye jamii lakini hapo hapo waendelee na open relationship kama vile hawajafunga ndoa na ni jinsia zote sio me wala ke. Ndo maana kuna misemo ya
1. Kitanda hakizai haramu
2. Hakuna mwanamke/mwanaume wa peke yako.
3. Kuchapiwa ni siri ya ndani.
 
mnawezaje kutumia kondomu na kuenjoy ila kuchepuka kuna raha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…