Niwaepushaje hawa na hili?

Niwaepushaje hawa na hili?

Naamini siku chache kabla ya ndoa ni utaratibu kupima ngoma wote, namwombea binti afanye na wakipima akutwe nao ili ajue ubaya wa anayomfanyia mume mtarajiwa na mume mtarajiwa awe salama
 
Mshahara wa dhambi ni mauti, huyo binti kashachumbiwa na mipango ya ndoa ipo kwenye process kinachompeleka kukutana na huyo jamaa ni nini? acha apate anachokitafuta, hapo wa kumuhurumia ni mumewe mtarajiwa ndie unaetakiwa kujua jinsi ya kumsaidia, ukishajihakikishia ameliwa mtumie jamaa msg ki anonymous kwamba binti hafai tena, na kwa hao mabinti wengine wanaobadilishwa kama nguo, well what can i say, ukimwi upo na unaua matangazo kila kona kwa msaada wa watu wa marekani, lakini watu hawasikii, kama huwezi kujituliza basi tumia kinga bado hawaelewi, wasaidiweje sasa? in my opinion its not up to u to save them, its up to them to save themselves
 
Ukute unajifanya mwema kumbe kwenye chain ya mshaji Kuna mahali ushagonga bila kujua!

Ugonjwa Ni Siri mkuu !
Kamwe usimwambie huyo msichana, ataenda kuvujisha na mtaani jamaa atakuwa haishi kwa Aman Tena !!!
Leave as it is !
Kama watatumia ndom au hawatotumia haikuhusu,,,,

Mapenzi Ni makubaliano ya watu wawili, dunia yote sote tunapita,,,, VVU sio tishio kiivo, unaweza kuona kwamba mshaji kapoteza lakn wewe ukapanda boda hapo ukagongwa, the rest is history! Sikutishi, namaanisha unaweza kuambukizwa huu ugonjwa na bado ukaendelea kuishi miaka mingi ijayo ,,,,umeandika as if kesho au kesho kutwa mchizi atakufa !

Ushauri, Kuna mtu kakushauri hapo juu kwamba mwambie huyo mchz aachane na huyo demu Ni wife to be wa mtu ,!!!
 
Asante kwa ushauri ila umenielewa vbaya.
 
😀😀😀 m
Na Jamaa akijua ume mchoma jiandae kuchomwa ka sindano usiku baada ya miezi michache muwe mna enda clinic wote teh teh teh
imi sio mwoga kiasi hicho mkuu.
Naamini Mungu nayemwamini ataniokoa na hayo unayowaza na asiponiokoa bado atabaki kuwa Mungu Kwangu.
 
Mshahara wa dhambi ni mauti, huyo binti kashachumbiwa na mipango ya ndoa ipo kwenye process kinachompeleka kukutana na huyo jamaa ni nini? acha apate anachokitafuta, hapo wa kumuhurumia ni mumewe mtarajiwa ndie unaetakiwa kujua jinsi ya kumsaidia, ukishajihakikishia ameliwa mtumie jamaa msg ki anonymous kwamba binti hafai tena, na kwa hao mabinti wengine wanaobadilishwa kama nguo, well what can i say, ukimwi upo na unaua matangazo kila kona kwa msaada wa watu wa marekani, lakini watu hawasikii, kama huwezi kujituliza basi tumia kinga bado hawaelewi, wasaidiweje sasa? in my opinion its not up to u to save them, its up to them to save themselves
Asante mkuu
 
Naamini siku chache kabla ya ndoa ni utaratibu kupima ngoma wote, namwombea binti afanye na wakipima akutwe nao ili ajue ubaya wa anayomfanyia mume mtarajiwa na mume mtarajiwa awe salama
Sawa mkuu
 
Ukute unajifanya mwema kumbe kwenye chain ya mshaji Kuna mahali ushagonga bila kujua!

Ugonjwa Ni Siri mkuu !
Kamwe usimwambie huyo msichana, ataenda kuvujisha na mtaani jamaa atakuwa haishi kwa Aman Tena !!!
Leave as it is !
Kama watatumia ndom au hawatotumia haikuhusu,,,,

Mapenzi Ni makubaliano ya watu wawili, dunia yote sote tunapita,,,, VVU sio tishio kiivo, unaweza kuona kwamba mshaji kapoteza lakn wewe ukapanda boda hapo ukagongwa, the rest is history! Sikutishi, namaanisha unaweza kuambukizwa huu ugonjwa na bado ukaendelea kuishi miaka mingi ijayo ,,,,umeandika as if kesho au kesho kutwa mchizi atakufa !

Ushauri, Kuna mtu kakushauri hapo juu kwamba mwambie huyo mchz aachane na huyo demu Ni wife to be wa mtu ,!!!
Anajifanya mwema? JF hii we huijui? Unaweza kuta huyo rafiki yake ni yeye mwenyewe nafsi tu inamsuta kiaina hapa kaja kutua mizigo yake ya kisaikolojia. Cheza na species wote lakini siyo Homo Sapiens mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Nimekupata mkuu,,,, hii homo sapiens sio kabisa [emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom