Niwachekeshe kidogo

Khaaa yamekuwa haya tena.... ?


Halafu mbon wanaume tuliona sura chungu na vimbaumbau unapenda kutupiga vita hivyo . Pesa mtu hana sura chungu utatuuatuaa mama.....
Eheheheh ,we mzuri bana japo kimbaumbau ina maana pizza hazijakukubali?
 
Eheheheh ,we mzuri bana japo kimbaumbau ina maana pizza hazijakukubali?
.. Nitafutie dawa basi maana hazitaki kunikubali.

Nataka na mimi nianze kutembea kifua wazi kama naniii ...halafu huyo ndiyo yule kaka yake waziri mkali mkali eeeh?
 
.. Nitafutie dawa basi maana hazitaki kunikubali.

Nataka na mimi nianze kutembea kifua wazi kama naniii
Ahahahah halaf bora we ubaki kama ulivyo,,we ukijaa utanisumbua sana baki hivyo hivyo
 
Tunaendana mi na wewe kiaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…