Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

Mwanaume anyekuruhusu utembee na mwanaume mwingine kwa ajili ya pesa, ni wa kumuangalia sana. Wengi atakutumia kuchota pesa unazohongwa, siku akizichanga za kutosha, atakuacha kwenye mataa akatafute mtu wa Peke ake. Wanaume wana kinyaa sana, kushare tu bure bure mmh
 

Vipi kama kupindua ikashindikana? Utaendelea kushare tu?
 
Niliwahi kushare tena nikiwa najua ,yote kwasababu yule manzi nilimpenda nikaona yote sawa tu:sly::sly::sly:

Duuuuuh!! Vipi ulifanikiwa kufanya mapinduzi? Au raha yako ilikuwa kuwa nae tu ilihali ana mwanaume mwingine?
 

Ila wapo wanaoshare mama bila hataaa kupewa pesa, tena wao ndio watoaji wa hizo pesa, na anajua kabisaaa anashare.
 
kuwa wanaume wanawatumia wanawake wao kama kitega uchumi

Ooooh thats another reason, ila kuna wanaoshare huku wao ndio watoaji wa hizo pesa.
 
Vipi kama kupindua ikashindikana? Utaendelea kushare tu?

Shemeji una play smart tuu, lazima kwanini usifanikiwe wakati ushafanikiwa paka game?

Kwa zile enzi zetu ni lazima tuu, tena unamfanya aone kwanini alikuwa anapoteza muda
 
Duuuuuh!! Vipi ulifanikiwa kufanya mapinduzi? Au raha yako ilikuwa kuwa nae tu ilihali ana mwanaume mwingine?

Nilichofanya niliplay part yangu alipokua kwangu but later on sijui kilitokea nini yaani nilitazama mbele nikaondoka.
 
Dhaaa!!, kushera n ngumu na ningumu kuvumilia kuona unashera waz waz hapo sasa mtu atakua umependa na kumuacha unashindwa cz karoho kanakuwa kanauma unasema ngoja nivumilie huenda akabadilika kumbe wap. Hyo unakua umempenda au unamliatu hella akiwa n mtt wa kshua
 
Ngoja niusikilize huo wimbo zen ndo nijibu..Au umeuliza kiujumla kama naweza kushare???

Yeah nimekuuliza wewe kama wewe can you share? If yes, why?
 
Eeh na wapo kweli, maana kuna watu wana mahaba hadi mahaba yenyewe yanawashangaa

Hahahaaaa! Eti hadi mahaba yenyewe yanawashangaa!! Ila daaah the thot that sahivi yupo kwa mwenzangu!!! Aiseeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…