Nimekumisimo! Vipi umemaliza kupika?
Sema "mpo" wengi, wekezeni tu, mie nitakusaidia kuvuna.
Teh teh teh teeeeh! Mie nakuangalia tu unavyoshadadia na ulikiri mwenyewe kuwa ndio zako.
"Hana""Ana" au "hana"??
Ndivyo Inavyokua Yaani!!Yeah hata mimi hilo nakubaliana nalo, huwezi mpenda mtu then ukakubali kushare.
Yeah hata mimi hilo nakubaliana nalo, huwezi mpenda mtu then ukakubali kushare.
Rejea sababu yako ya awali bwana shemeji, mbona zinakinzana?