MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,094
Mpe mimba akili ichanganye vizuri na wewe pia
Mpuuzi kweli wewe.Yaani hapo unaona anamuonea mwanamke? Yaani mtu amepambana badala ya kurudi mikono mitupu amerudi na kidogo bado unaona unaonewa? Kwanini wewe usiende kujitafutia hicho kiasi unachotaka? Kwani Umempendea mapenzi ya kweli au ni tamaa ya pesa na unapretend hali ya kuwa upo kimaslahi?Acheni kuonea wanawake yani mtu afurahie ela ambayo hata mahitaji muhimu tu haikidhi yani mnataka apretend.. Swali kwani wewe siku ulioingiza hyo 12500 ulijsikiaje ilikuwa sawa na ulipoingiza 2500?
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Hapana! Asimuweke hapo auze atamuibia na jamaa atafilisika kwa mtaji mpaka kukata tamaa! Huyo demu inaonekana anatamaa!Kama haamini mauzo na faida muweke siku moja kwenye hiyo biashara aone mauzo yake.
mkuu usidharau.. hiyo 2500 huku mbeya..ni kubwa saanaa.. ukiwa na mchele na unga ndani ..Sasa wewe unataka afurahie haki mliyonayo ili mbaki hivyo hivyo miaka yote.
Laxima akupe challenge upambane KIUME.
Labda kama ungempata wakati una maisha mazuri halafu ukafulia akakimbia, ungesema hana uvumiluvu.
Ila kwa kuwa kakubali kuishi na wewe mkiwa hivyo hivyo utasemaje havumilii.
Halafu Tsh 2500 matumizi mnaishi mkoa gani![]()
Hongera kwa kutokata tamaa.nawasalimia. habari
mi kijana (23)nmefanikiwa kuanza biashara baada ya kipind kirefu kutafuta mtaji.
nilikuw na laki 2 nimefungua biashar kwa laki na hamsin (nimetimiza week moja na siku 4)
katika hyo biashara wakat naanza wateja walikuw wanakuja wachache (nahisi n kwa sabb sijawa mwenyej)
nina mke ila bado hatujabahatika kuwa na mtoto.
nmeangalia faida nayopata kwa kila siku naona haiendan na mahitaj ya kuhudumia familia,
kwa siku naweza pata faida ya elf 3 au elf 4,na hizi siku 2 nyuma sijauza hata kidgo
,ila kuna siku wateja walikuja kama 8 ivi nilipiga hesabu nikaona nimepata faida ya sh 12,500 matumiz yangu mi na mke wangu hayazidi 2500 au 2000 kwa siku
mke wangu analalamika amechoka anataka kuondoka,nimemjibu haina shida achague atakaloona linamfaa ila nimemhakikishia hatutolala njaa hat sku moja .
lakini nimegundua huyu mwanamke hana uvumilivu kipind cha hali ngumu .
nikirud home nikimwambia faida ya niliyopata hata hachangamki,ila siku niliyomwambia nimeingiza faida ya 12500 alifurah sana .
niko njia panda wakuu,ushauri niendelee kukaza ili wateja wanizoee au nifunge biashara .
NAFANYA BIASHARA YA KUUZA SAMAKI WABICHI.
View attachment 1695196
Usimshauri hichi kitu kumbuka hapo alipo tayar anahudumia vichwa viwili inamaana akija mtoto tayr kichwa cha 3 hicho je ataweza kuvitunza kwa elfu 2500Mpe mimba akili ichanganye vizuri na wewe pia
NB : na akija kuleta Uzi kua mwanamke alimpa mtaji wake wa samaki kaula na dume jengine Nadhani kitachoandikwa hapa huu Uzi ataujutia maisha yake kwa mawazo yako ulompaPole sana kwa changamoto unayopitia, kama vipi mkabidhi hiyo biashara ya Samaki wewe uangalie njia nyingine ya kupambana ukiwa kama Mwanaume haba na haba hujaza kibaba.
Akili ndo itapanuka vizuriUsimshauri hichi kitu kumbuka hapo alipo tayar anahudumia vichwa viwili inamaana akija mtoto tayr kichwa cha 3 hicho je ataweza kuvitunza kwa elfu 2500


Naunga mkono hata kwa jinsi ilivyo hiyo kazi inamfaaKukataa tamaa ni dhambi kubwa sana
Ushauri wangu hyo mwanamke kama anakupenda kweli basi mwachie hyo biashara, wewe pamban kutafuta vibarua..
Asikae kae kizembe hapo nyumban na kulalama wakat hajui haso unazo kutana nazo
Mwanaume anae muaacha mke wake nyumban na kuangaika peke yake ana asilimia 100% kila kitu anatimiza na mke halalamiki
Kama mkeo ni mtu wa kulalamika kaa nae mwambia mke wangu "palipo na mwanaume mwenye mafanikio nyuma yake kuna mwanamke mwenye ushauri mzuri,mwenye kujituma,mpambanaji, na mchamungu" mwambie maisha mazuri hayaletwi na upepo ila kuwa kushirikiana na kupamban
Pole sana mkuu