Nivumilie au?

xavieen

Senior Member
Jan 29, 2021
136
547
nawasalimia. habari

mi kijana (23)nmefanikiwa kuanza biashara baada ya kipind kirefu kutafuta mtaji.

nilikuw na laki 2 nimefungua biashar kwa laki na hamsin (nimetimiza week moja na siku 4)

katika hyo biashara wakat naanza wateja walikuw wanakuja wachache (nahisi n kwa sabb sijawa mwenyej)

nina mke ila bado hatujabahatika kuwa na mtoto.

nmeangalia faida nayopata kwa kila siku naona haiendan na mahitaj ya kuhudumia familia,

kwa siku naweza pata faida ya elf 3 au elf 4,na hizi siku 2 nyuma sijauza hata kidgo

,ila kuna siku wateja walikuja kama 8 ivi nilipiga hesabu nikaona nimepata faida ya sh 12,500 matumiz yangu mi na mke wangu hayazidi 2500 au 2000 kwa siku

mke wangu analalamika amechoka anataka kuondoka,nimemjibu haina shida achague atakaloona linamfaa ila nimemhakikishia hatutolala njaa hat sku moja .

lakini nimegundua huyu mwanamke hana uvumilivu kipind cha hali ngumu .

nikirud home nikimwambia faida ya niliyopata hata hachangamki,ila siku niliyomwambia nimeingiza faida ya 12500 alifurah sana .

niko njia panda wakuu,ushauri niendelee kukaza ili wateja wanizoee au nifunge biashara .

NAFANYA BIASHARA YA KUUZA SAMAKI WABICHI.

JPEG_20210205_135827_2655693715843322055.jpg
 
View attachment 1695196
Sasa wewe unataka afurahie haki mliyonayo ili mbaki hivyo hivyo miaka yote.

Laxima akupe challenge upambane KIUME.

Labda kama ungempata wakati una maisha mazuri halafu ukafulia akakimbia, ungesema hana uvumiluvu.

Ila kwa kuwa kakubali kuishi na wewe mkiwa hivyo hivyo utasemaje havumilii.

Halafu Tsh 2500 matumizi mnaishi mkoa gani 🤣🤣🤣🤣
 
Aiseee, tuachane kwanza na ya wife! Hongera sana Mkuu! Kikubwa uvumilivu, jitahidi kuweka mazingira safi, pia usikae kusubiri wateja, pita kwa mamantilie chukua order, hakikisha wauzaji chakula na chips mahitaji yao ya samaki wanayapata kutoka kwako!!

Mwambie mkeo "bad times don't last forever".
 
Sasa wewe unataka afurahie haki mliyonayo ili mbaki hivyo hivyo miaka yote.

Laxima akupe challenge upambane KIUME.

Labda kama ungempata wakati una maisha mazuri halafu ukafulia akakimbia, ungesema hana uvumiluvu.

Ila kwa kuwa kakubali kuishi na wewe mkiwa hivyo hivyo utasemaje havumilii.

Halafu Tsh 2500 matumizi mnaishi mkoa gani
mkuu aliyekuzaa angeiona hii thread asingecheka, dunian tunatofautiana kipato ,hyo 2500 kuna mwngne pia anaona nyingi,
 
nawasalimia. habari

mi kijana (23)nmefanikiwa kuanza biashara baada ya kipind kirefu kutafuta mtaji.

nilikuw na laki 2 nimefungua biashar kwa laki na hamsin (nimetimiza week moja na siku 4)

katika hyo biashara wakat naanza wateja walikuw wanakuja wachache (nahisi n kwa sabb sijawa mwenyej)

nina mke ila bado hatujabahatika kuwa na mtoto.

nmeangalia faida nayopata kwa kila siku naona haiendan na mahitaj ya kuhudumia familia,

kwa siku naweza pata faida ya elf 3 au elf 4,na hizi siku 2 nyuma sijauza hata kidgo

,ila kuna siku wateja walikuja kama 8 ivi nilipiga hesabu nikaona nimepata faida ya sh 12,500 matumiz yangu mi na mke wangu hayazidi 2500 au 2000 kwa siku

mke wangu analalamika amechoka anataka kuondoka,nimemjibu haina shida achague atakaloona linamfaa ila nimemhakikishia hatutolala njaa hat sku moja .

lakini nimegundua huyu mwanamke hana uvumilivu kipind cha hali ngumu .

nikirud home nikimwambia faida ya niliyopata hata hachangamki,ila siku niliyomwambia nimeingiza faida ya 12500 alifurah sana .

niko njia panda wakuu,ushauri niendelee kukaza ili wateja wanizoee au nifunge biashara .

NAFANYA BIASHARA YA KUUZA SAMAKI WABICHI.

View attachment 1695196
mwanangu sina cha kukushauri ila ongera sana mkuu, unapambana aiseee
 
Nadhani mwambie wote walio juu wametoka huko huko chini hivyo kama anakupenda avumilie tu na kukutia moyo upate zaidi na zaidi.

Japo hii kauli mwingine anaeza iona kama ni ndoto ya mchana tu.
 
Una nguvu ya mafanikio ndani yako.
Ila nashangaa ulianzaje kuishi na mwanamke huku una hali ngumu.
Angalia asije Don anampa misimbazi 2 kila siku huku haongei kitu. Akifanya hivyo siku 6 mfululizo mwenyewe atamtongoza huyo Don.
 
Kukataa tamaa ni dhambi kubwa sana

Ushauri wangu hyo mwanamke kama anakupenda kweli basi mwachie hyo biashara, wewe pamban kutafuta vibarua..

Asikae kae kizembe hapo nyumban na kulalama wakat hajui haso unazo kutana nazo

Mwanaume anae muaacha mke wake nyumban na kuangaika peke yake ana asilimia 100% kila kitu anatimiza na mke halalamiki

Kama mkeo ni mtu wa kulalamika kaa nae mwambia mke wangu "palipo na mwanaume mwenye mafanikio nyuma yake kuna mwanamke mwenye ushauri mzuri,mwenye kujituma,mpambanaji, na mchamungu" mwambie maisha mazuri hayaletwi na upepo ila kuwa kushirikiana na kupamban

Pole sana mkuu
 
Pole sana kwa changamoto unayopitia, kama vipi mkabidhi hiyo biashara ya Samaki wewe uangalie njia nyingine ya kupambana ukiwa kama Mwanaume haba na haba hujaza kibaba.
 
Acheni kuonea wanawake yani mtu afurahie ela ambayo hata mahitaji muhimu tu haikidhi yani mnataka apretend.. Swali kwani wewe siku ulioingiza hyo 12500 ulijsikiaje ilikuwa sawa na ulipoingiza 2500?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Akinuna ndio anakupa hasira ya kutafuta zaidi....

Usiache kwa kuwa tayari inaonesha ukivumilia Ina faida Sana.

Cha kufanya kabla ya kukaa eneo la biashara jitahidi uzunguke mitaa ya mbali kidogo asubuhi Sana masaa mawili au matatu uwafuate hao wateja wa mbali Kisha urudi hapo kusubiria wachache.

Kama mkeo anaweza nae pia asubuhi mapema azungushe mitaani Hadi saa nne arudi nyumbani kuendelea na majukumu mengine...

Wewe ukiokota elfu mbili na yeye elfu mbili tayari elfu nne

Baadae biashara itakuwa

Wateja wambali hakikisha unachukua namba zao za simu.
 
Back
Top Bottom