Nivea upo server number ngapi nije kukupa pole...

Nasikia kichefu chefu

ear-plug-17663698.jpg stevoh

umejaribu kutumia hii makitu ya wazungu?
 
Last edited by a moderator:
halafu wee mbaya sana yaani tunaishia kubonga tu, hata ukonga ukashindwa kuja kunisabahi mwenzio,,, bora hata king kan aliyekuja kunipa mkono wa pole

hukunipa namba za sero yako...! nextym usisahau.

Hivi ban ndo ikoje? maana mimi nina 6 years humu ndani na sijawahi kuona ban...
 
hongera yako, tena wala usiiombee kuipata, jela ya ban haina hata madirisha giza tupu mpaka nilijuta mwenzio
 
hukunipa namba za sero yako...! nextym usisahau.

Hivi ban ndo ikoje? maana mimi nina 6 years humu ndani na sijawahi kuona ban...
kama hujui ban ndio hii hapa

JamiiForums Message

You have been banned for the following reason:
wewe ni wale wanaume tunao waita dume la mbwa .no argument kakojoe ulale njaa inakusumbua na akili ndogo kama ya bundi.na umaskini umekuja mjini ukitegemea domo likutunze ndio hasara zake hizi
Date the ban will be lifted: 24th May 2013, 15:00

Khaa! message ya kimipasho hivyo utadhani moderator ni Kongosho au Madame B!!!!!

Ama kwa hakika ma mod wanachakachuliwa na wake zao waliomo humu.

Mfano hiyo kama ni Fang kaitoa hiyo ban basi ujue huo ujumbe umeandikwa na King'asti!!!:suspicious:
 
Mentor wewe ndio hujaelewa yaani huyo mtu alimtukana huyo mwanaume kule siasa ,sasa hayo maneno hapo mods lazima wayaweke kisababishio cha ban yako ili usiende kulalamika kule complains hebu na wewe mpe mtu maneno kali kama hiyo uone kama hupti ban wewe he
 
Last edited by a moderator:
kama hujui ban ndio hii hapa

JamiiForums Message

You have been banned for the following reason:
wewe ni wale wanaume tunao waita dume la mbwa .no argument kakojoe ulale njaa inakusumbua na akili ndogo kama ya bundi.na umaskini umekuja mjini ukitegemea domo likutunze ndio hasara zake hizi
Date the ban will be lifted: 24th May 2013, 15:00

Mh!
Ulimpa makavu laivu Nivea!
Alikuwa gamba nini?
CC windowXP
 
Last edited by a moderator:
Mh!
Ulimpa makavu laivu Nivea!
Alikuwa gamba nini?
CC windowXP
hahahahahaha hiyo inaitwa kujitoa ufahamu hahahahahahahaah hayo ni jamaa mmja anaitwa my web yeye ID yake ilifutiliwa mbali kabisaaa hahahahahahahah makwazo hayana budi kutokea ila ole wake ayasababishae kwa wenzie kama my web
 
Du!
Kumbe ni gamba my web?
Huyu amewah nisababishia BAN na mimi hadi ikapelekea ku create Id hii,LOL!
CC Kima Mchanga
 
Last edited by a moderator:
Mentor wewe ndio hujaelewa yaani huyo mtu alimtukana huyo mwanaume kule siasa ,sasa hayo maneno hapo mods lazima wayaweke kisababishio cha ban yako ili usiende kulalamika kule complains hebu na wewe mpe mtu maneno kali kama hiyo uone kama hupti ban wewe he

Hahaha..nmekusoma kwa nguvu ya tano mkubwa!!!:A S-fire1:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom