Niva alinasa penzi la wema sepetu...

Niva alinasa penzi la wema sepetu...

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,074
Reaction score
34,844
999372_397836610321728_52219506_n.jpg


Siku za hivi karibuni mwigizaji anayefanya vizuri kwasasa katika filamu nchini Niva Zubery amekuwa akiweka status zikimhusu mwigizaji mwenzake Wema Sepetu na baadhi ya mashabiki wa mastaa hao na

wasomaji wetu kutaka kuupata ukweli kama mastaa hao ni wapenzi kwa siri au lah. "nyie swp hembu

muulizeni Niva kama mtu wake kwasasa ni Wema coz status zake ni za kuchombeza kwa bibieee then

kama wako close sana siku hizi, maskini kaka wa watu kaoza kwa wema tayariii
!" alisema shabiki

mmoja wa kike aliyekataa kutajwa jina lake. Status za Niva zinaonekana kama kuchombeza kitu flani kwa

Wema kwa mujibu wa wasomaji walioitonya SWP. Baadhi ya status hizo za Niva katika facebook yake ni

hizi hapa "Baaabaa eti wewe upo na wemaa? (Apana mwanangu) huku akiwa ameweka picha yake

mwenyewe na ya mtoto anayedaiwa kuwa wake", nyingine iko hivi "Niva hanipokerei cm jamaani
mwambieni basi kama nampigiaa mwambieeni nawaomba tafazalii" huku akiwa amepost picha ya Wema Sepetu akiwa ameweka simu sikioni
".

Status nyingine akiwa ameweka picha hiyo hapo chini wakiwa pamoja na Wema ilisomeka hivi "Etiiiiiii kama tunamuaa kuwa nanihiii na nanihiii itakuwa poa? basi nipe maoni yako ili nijue simmeshajua nilicho maanisha

so nataka jibu ili nijue". Baadhi ya wachangiaji walimwambia Niva kuwa wakiwa wapenzi yeye na Wema watapendeza huku wengine wakimwambia kuwa Wema sio hadhi yake, wengine walimwambia ajaribu bahati

yake kama tayari ameshamzimikia mrembo huyo. Ili kuupata ukweli kutoka kwa Niva mwenyewe kama baadhi ya wasomaji walivyotutumia ujumbe mwanzoni ilibidi kumtafuta Niva jana na kumueleza kila kitu na

yeye alikataa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wema na alipoulizwa kama kweli sio wapenzi status zake

zikionekana kwa mtu wa Wema si zinaweza kuzua tafrani? Niva alijibu kwa ufupi kwa kusema "hakuna kitu kama hicho kaka



NIVA ALINASA PENZI LA WEMA SEPETU... - GUMZO LA JIJI
 
Ni kweli mkuu,lakini kwa bahati mbaya wengine inatutia kichefuchefu!

Kaazi kwelikweli, mtoto kaamua alichopewa na Mungu bure asimnyime mwanaume akapata dhambi bure..!!
 
Kaazi kwelikweli, mtoto kaamua alichopewa na Mungu bure asimnyime mwanaume akapata dhambi bure..!!
Imekuwa kama pipi kila anayeomba anapewa kiuraisi.Lakini anachofanya ni kujizaraulisha kwenye jamii ya Kitanzania!
 
Duu dada huyu maileji sasa inasoma km 1,000,000,akiwapanga wanaume toka dar wanafika chalinze
 
Huyo jamaa anaumri gani mbona anaandika kama wale watoto waliobalehe na kuanza mapenzi jana!?

Wasanii wa Bongo ni wa hovyo sana ndo maana hata kujieleza kwao ni tatizo kubwa...huwezi kusikiliza mahojiano ya msanii wa Bongo...ni USANII!!!
 
Wema ana kibwana chake mbona? Yule ambae kamuachia lile Audi Q7 ...anaitwa Robby
 
Back
Top Bottom