Niuzie Smartphone

Nyete

Member
Apr 20, 2016
58
61
Wakuu Habarini Za Mihangaiko!
Naomba Mwenye li Smartphone la ukweli la kuuzia sura hata kama litazimwa mwezi wa 6 Aniuzie Kabla TCRA Hawajafanya yao, nami niigusi japo siku mbili tatu kabla haijazimwa. offer ni elfu 50.
asante
 
Hiyo ofa yako umeua mkuu. Njoo nikuuzie Samsung ya ukweli ila haifanyi kazi. Utaenda kutengenezesha mwenyewe kwa fundi...
Mkuu Haijalishi Itazimwa Na Tcra Au La Mimi Nataka Nitumie Japo Siku Mbili Tatu. Lakini Iwe Inafanya Kazi niuzie sura.
 
Najua fika kuwa Wazazi husika huu UZI watauona au huyo Binti yao atauona na pengine kuwafikishia taarifa.

Tumeamua kuachana na Umalaya ( Uhuni ) na kuamua sasa tutafute Wenza wetu ili tuyajenge maisha halafu hapo hapo nyie Wazazi mnafifisha ndoto zetu.

Nyie Wazazi wa huyo Girlfriend wangu mmenitaka nitoe Mahari yenu huku mkanihoji maswali yenu na nikawajibu mkaridhika huku mkinihakikishia kuwa mambo yatakuwa mazuri.

Nimeshajiaminisha kuwa sasa karibuni tu naachana na ukapera huku nikianza kuwatambulisha wenzangu juu ya huu mpango wangu mara nyie Wazazi ( Wakwe wenye Roho mbaya ) leo ndiyo mmenitibua kabisa.

Members humu JF hivi ni halali kweli Wazazi wa Girlfriend wako baada ya kuwapa Mahari yao kisha wanakutaka uwape vitu vifuatavyo?

  1. Academic Certificate tena cha University na kilichokuwa certified?
  2. Birth Certificate huku wakisisitiza kuwa wanataka kuwe na picha ya Utotoni?
  3. ATM card ambayo iko active?
Mpenzi wangu utanisamehe tu kwani nia yangu haikuwa kuwaumbua Wazazi wako " live " hapa JF ila nadhani nimeona bora tu nijitoe mhanga ili niweze kuwasaidia Wanaume wengine labda wanaopata matatizo au kero kama hii yangu.

Hata hivyo nimeamua rasmi kuachana na Wewe na sihitaji tena kuwa na Mke hivyo kwa hayo mahitaji matatu ya Wazazi wako unaweza tu ukawaambia kuwa:

  1. Wakuruhusu uolewe na Chuo Kikuu.
  2. Picha za Utotoni wanaweza wakaweka zao kama wanazo.
  3. ATM card yangu ipo dormant huu mwaka wa tatu sasa.
Sikutaki tena na unaweza tu ukawaambia hao Wazazi wako wakutafutie Bwana Mimi hivyo Vigezo vimenishinda kwani sitafuti PASI ya Kusafiria bali nilikuwa natafuta Mke.
Kihelele.Sasa unafuga ng'ombe kwa ajili ya maziwa una akili kweli.Wakati mwaziwa special kibao..Wacha uwoga.Kamata dundu tia mimba azae alfu una revenge kama rambo kamata xbo-v+http://
Mkuu Haijalishi Itazimwa Na Tcra Au La Mimi Nataka Nitumie Japo Siku Mbili Tatu. Lakini Iwe Inafanya Kazi niuzie sura.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom