niuzie ID Printer- budget ya kutosha!

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
28,121
37,683
Habari wadau!
Naomba msaada wenu: nataka kuuziwa vitu vifuatavyo:
  1. ID Printer
  2. Camera (Id)
  3. Na ile machine ya ku-capture signature (hata sijui inaitwaje)

Kama unavyo ama unajua vinakopatikana, tuwasiliane 0717210880, tuma hata sms
 
Unamaanisha printer ya kuprint ID ama (ID ndio jina la printer?) funguka upate ushauri zaidi
 
Back
Top Bottom