nahtj kubadilisha kingmz na kwend dstv pls dondosha ofa yako km na ww unahtj kubdilisha kingmz
ninacho aisee wewe una kipi tubadilishane na uko wapi?
acha ubahiri nenda dukani kanunue Tsh.99'000 tuu.
Mi nataka tubadilishane na FTA mi nina dstv
unawez ukaamua nikupe strtimes na pesa kidogo au nikupe pesa
nahtj kubadilisha kingmz na kwend dstv pls dondosha ofa yako km na ww unahtj kubdilisha kingmz