Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,056
- 12,915
Kamdomo hata maandiko matakatifu yamesisitiza "chunga sana ulimi".Kwahiyo mtu akikwambia niue unaua kisa una hasira? Hujui kama kwenye ugomvi mtu anaweza kutamka lolote? Ugomvi unapojumuisha watu wawili haijalishi mwanamke au mume lazima kila mmoja kichaa kitapanda, hakuna kitu kama ugomvi umetokea mwingine asikereke hapo ajidai fala tu, wote tumeumbwa na hisia wakuu, Inahitaji elimu kiasi gani kuelewa hili?
Maandiko hayajakuruhusu kumpiga mkeo! Tumia hekima..Kamdomo hata maandiko matakatifu yamesisitiza "chunga sana ulimi".
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
πππIlishawahi kunikuta hii ni vile tu Nina moyo wa uvumilivu na kuzuia hasira, hapo Mwanamke asingekuguswa ungesikia "mbona hujanigusa kama ww mwanaume kweli au unaniogopa"