Hahaha labda anayejibu ni gynaecologistMaswali ya humu yamenichekesha hata anaye jibu hayo maswali hana papuchi majibu mengi ni kamba tu. Aliponichosha eti wanawake ni dhaifu kisa kaaminishwa na jamii yake.
Msingi wa swali lake alitaka kumjua "ideal woman". mwanamke bora. Na ndio maana nilimwambia hakuna ideal woman. Nafikiri kuna kitu umekimiss. Na sio kutaka kuundermine mwanamke bali mwanaume aelewe kwamba hawezi kupata mwanamke aliyekamilika kwa kila kitu. Kama ambavyo hajawahi kuwepo mwanaume boraKuna point za mwanzo umejibu mwanamke eti hajawahi Kuwa bora tangu kuumbwa ulimwengu sijui dhaifu na ukitumia had bible kufanya justification zako kuhalalisha mawazo ya kiuoga ya wanaume wengi especially wa ki Africa. Hayo maumbile sio udhaifu ni biological makeup ni sawa na udogo wa chura uite udhaifu. Hafu huna tofauti na wa Saudi a Arabia wanaume wa naongelea mambo ya wanawake huku wakiwa wanaume hicho si kituko
Msingi wa swali lake alitaka kumjua "ideal woman". mwanamke bora. Na ndio maana nilimwambia hakuna ideal woman. Nafikiri kuna kitu umekimiss. Na sio kutaka kuundermine mwanamke bali mwanaume aelewe kwamba hawezi kupata mwanamke aliyekamilika kwa kila kitu. Kama ambavyo hajawahi kuwepo mwanaume bora
Mleta mada, Kwanini wasagaji wameongezeka siku hizi? Ni raha gani wanaipata?Pelvic inflammatory disease (PID) wahi hospital haraka ukapatiwe tiba.
Sawaa sawaaWewe ndo una hasira we are just arguing
Hahaha labda anayejibu ni gynaecologist
N
Nimeisha lijibu hili
Na ndio ulikuwa msingi wa jibu langu. Kama angeniliuza mwanaume bora yukoje, ningempa jibu hilo hiloBut the way you answered mhhhhhh. Chini ya jua no one is perfect kabisa au aliye kamili so stop labelling us as weak vile mliaminishwa kuanzia kwenye maandiko
Ishia hapo hapo usiende mbele kuhusu utamu wetu utuache kidogoHamna cha ugynaecologist hapo mengi chaka Kuwa mtaalamu haimaanishi utajua experience ya wanawake. Mie mwenyewe naweza kusoma nikajua kuhusu wanaume Ila nikiuliza utamu muupatao wakati wa bao nami nielezee siwezi nitakuwa nadaganya kabisa
Ishia hapo hapo usiende mbele kuhusu utamu wetu utuache kidogo
Kwaiyo una pinga maandiko!!?But the way you answered mhhhhhh. Chini ya jua no one is perfect kabisa au aliye kamili so stop labelling us as weak vile mliaminishwa kuanzia kwenye maandiko
Anabalehe kuvunja ungo ni moja ya viashiria vya baleheMwanamke anabalehe au anavunja ungo?
Hahaha nimekwambia ishia hapo hapo wewe mbona hausikii unazidi kwenda mbele tuHahaaaaa umeona my logic sasa yani mie mwanamke nielezee utamu wenu eti jamani
Utamu wetu tuachie wenyewe tafadhaliHahaaaaa umeona my logic sasa yani mie mwanamke nielezee utamu wenu eti jamani
Aisee!!Anabalehe kuvunja ungo ni moja ya viashiria vya balehe
Kuna sababu nyingi sana moja ni kwamba uwazi umekuwa mkubwa sana na uhuru wa watu kujieleza. So people are coming outMleta mada, Kwanini wasagaji wameongezeka siku hizi?
Aisee!!
Sure ulimjibu pia kama vile Basata walikuwa wana kuona mkuu!!Nafikiri katika majibu niliyo mpa nimeweka terms za kisayansi ndio maana mmebaki hofu. Lakini nilicho muelezea ndio scientific basis ya swali lake
Wewe hauamini maandiko mkuu?But the way you answered mhhhhhh. Chini ya jua no one is perfect kabisa au aliye kamili so stop labelling us as weak vile mliaminishwa kuanzia kwenye maandiko
Naamini Ila mengi yaliandikwa na wanaume so walitia chumvi kumuonea mwanamke maana zamani wanawake hawakua na haki popote. Ndo maana Yesu alipopelekewa yule mwanamke kahaba kwa uzinzi wampige mawe pekee akawaambia asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga mawe. Ndo uone uonevu sasaWewe hauamini maandiko mkuu?
Kuvunja ungo ni hedhi ya kwanza ya mwanamke. First menstruationHivi katika somasoma yako ya vitabu shuleni ulishawahi kuona neno 'kuvunja ungo?'