Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
Wanawake imara sana katika kulea na kujeng familia. Lakini pia wana mapungufu mengine ambaayo ni mara chache kutokea kwa mwanaume.Mapungufu hayo ni kamaYapi ni mapungufu makubwa ya mwanamke?
Mwanamke bora ni yupi?Wanawake imara sana katika kulea na kujeng familia. Lakini pia wana mapungufu mengine ambaayo ni aghalabu kutokea kwa mwanaume.Mapungufu hayo ni kama
1. Kukosa usiri. Wanawake wengi sio watu wa kutunza siri. Wanaweza kutoa siri za familia kwa mtu ambaye hana msaada sana. Mfano ni rahsi mwanamke kumuelezea shoshti wake kama mmewe hana upungufu wa nguvu.
2.Kutumia hisia zaidi kuliko akili. Maamuzi ya wanawake wengi yanafuata hisia zaidi kuliko akili.
3.Wivu.
4.Matarijio ya uongo. ni rahsi sana wanawake kuamini wanayo ambiwa , kuona kwenye tv. kama umewahi kusikai mapenzi ya kwenye tamthilia yalianzia kwa wanawake. WENGI HAWAISHI KATIKA UHALISIA
Mfano ni rahsi mwanamke kumuelezea shoshti wake kama mmewe hana upungufu wa nguvu.
Tangu mwanzo wa ulimwengu hajawahi kuwepo mwanamke bora. Wanawake wote wana uzuri na mapungufu yao.Mwanamke bora ni yupi?
Kwa nini huwa hawana nauli??Nimeona leo nitoe muda wangu kidogo ili tuweze kusaidiana. Mungu akikupa elimu na maarifa bora kushare na wengine.
Napenda kukaribisha swali lolote lile kuhusu wanawake. Uliza swali lolote kuhusu hali mbali mbali za wanawake, mfano kutoa harufu na uchafu sehemu za siri, kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa, mzunguko wa hedhi, kushindwa kufika kileleni, kukosa hamu ya tendo la ndoa , matiti kutoa maziwa wakati hanyonyeshi nk,nk.
Karibu, uwanja ni wako. DM iko wazi kwa mtu anayetaka usiri.
Unadhani kwa nini wanawake wanaitwa watu wa mapungufu/dhaifu?Tangu mwanzo wa ulimwengu hajawahi kuwepo mwanamke bora. Wanawake wote wana uzuri na mapungufu yao.
Tatizo la kusikia mauvimi chini ya tumbo upande wa kushoto na kulia na kutoa uchafu mzito wenye rangi ya brown ila usio na harufu (uchafu unakuwa kama umechanganyika na damu)Nimeona leo nitoe muda wangu kidogo ili tuweze kusaidiana. Mungu akikupa elimu na maarifa bora kushare na wengine.
Napenda kukaribisha swali lolote lile kuhusu wanawake. Uliza swali lolote kuhusu hali mbali mbali za wanawake, mfano kutoa harufu na uchafu sehemu za siri, kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa, mzunguko wa hedhi, kushindwa kufika kileleni, kukosa hamu ya tendo la ndoa , matiti kutoa maziwa wakati hanyonyeshi nk,nk.
Karibu, uwanja ni wako. DM iko wazi kwa mtu anayetaka usiri.
Ukubwa au udogo wa uume hauna maana kitandani. Ukiona mwanamke analalamikia size ya maumbile yako ni kwamba haumridhishi. Kuwa mtundu zaidi kitandani. Umepewa vidole, ulimi, midomo na dudu. Vitumie vyote. Soma kwenye mitandao mambo hayo Siku hizi yameandikwa kila mahalidemu wangu kaniuliza mb0na mashne yngu nyembamba sana? nmetafakar cjapata jibu je nmwambiaje/nimfanyaje
Ndio asili yao. Ndio ubinadamu wao. Na waliumbwa hivyo.Unadhani kwa nini wanawake wanaitwa watu wa mapungufu/dhaifu?
Atapandikizwe wakati yuko dhaifuKwahiyo anamwambia asogee ili nayeye apandikizwe
Mwambie hata mimi nashangaa K yako ni kubwa sana maana mademu zangu wengine walikua wanalalamika Mashine yangu inawagusa kizazi.demu wangu kaniuliza mb0na mashne yngu nyembamba sana? nmetafakar cjapata jibu je nmwambiaje/nimfanyaje
Ndio asili yao. Ndio ubinadamu wao. Na waliumbwa hivyo.
Naona walokole wanaulizana kuhusu msikiti
Tatizo hilo pasipo shaka kama mwanamke yuko sexually active ana maambukizi ya bakteria aina ya Klamidia (Chlamydia) .Ni ugonjwa ambao unaathiri wanawake wengi na pia unaweza kusababisha ugumba.Tatizo la kusikia mauvimi chini ya tumbo upande wa kushoto na kulia na kutoa uchafu mzito wenye rangi ya brown ila usio na harufu (uchafu unakuwa kama umechanganyika na damu)
Kama sijakuelewa hiviNaona walokole wanaulizana kuhusu msikiti