Mkuu ungefanya kushare link ya hiyo channel/group hapa ili tukibonyeza itudirect huko na kujoin immediately.Kuna group la telegram la geos wote Tanzania waweza kujinga ni nondo za maana uwa zinajadiliwa.karibu
Kindly asking
Wapi kwa hapa dar naweza kununua geological tool kit, i.e hammer,lens,brunton compass n.k.
Make subject term GeoNauliza geomatics inahusian na geology??
hilo halina tatizo kabisaa...maana ni group la professionals,cha msingi nikuzifuata hizo rules...Group lipo ila lazima ukubaliane na rules za hilo group. Kwasababu lina watu wenye heshima wengi
Site saba katika maeneo ya jirani,mmiliki ni mzee ndugu yangu.Hapa unamaanisha zipo site 7 tofauti? Je unamiliki peke yako au uko na partners wenzako?