Mimi yangu icheki PMwakuu za asubuhi
nimepata contact 3 hadi sasa...nasubiri nyingine zaidi ili group lianze soon
Na mimi pia naendelea kusisitiza.wakuu za asubuhi
nimepata contact 3 hadi sasa...nasubiri nyingine zaidi ili group lianze soon
Age dating ya Rocks ndo inayofanya tufahamu umri hata Wa Dunia, mbaramwezi nkTatizo la geology ni nadharia xana mfano huwezi mwambia mtu igneous rock ilitokea miaka million 500 iliyopita af akakuelewa, no proof for that
Neno ulilotumia haliendani na ulichokimaanishaMitanzania ndivyo ilivyo.
Ndio maana nikasema geology ni nazaria tu,tofauti na kozi nyingine,umri wa dunia ni miaka 4.5bilioni lakini binadam ametokea chini ya miaka milioni moja(sina hakika sana )zaidi ya miaka 4 bilion dunia hakukuwa na mtu yeyote,duhhh af biblia inasema ilimchukua mungu siku saba kuweka vyote vilivyomo humu duniani na binadamu akiwemo,kazi kwelikweli haina tofauti na ile ya binadamu wote wametokana na nyaniAge dating ya Rocks ndo inayofanya tufahamu umri hata Wa Dunia, mbaramwezi nk
Kuna theory nyingi sana zinazoelezea age of the earth.Ndio maana nikasema geology ni nazaria tu,tofauti na kozi nyingine,umri wa dunia ni miaka 4.5bilioni lakini binadam ametokea chini ya miaka milioni moja(sina hakika sana )zaidi ya miaka 4 bilion dunia hakukuwa na mtu yeyote,duhhh af biblia inasema ilimchukua mungu siku saba kuweka vyote vilivyomo humu duniani na binadamu akiwemo,kazi kwelikweli haina tofauti na ile ya binadamu wote wametokana na nyani
GeomaticsHabari mkuu.
Naomba maelezo kuhusu hii course ya GEOMATICS ina uhusiano gani na geology na je ajira zake zinakua maeneo gani?
Kumbe ni wewe unaesema!Ndio maana nikasema geology ni nazaria tu,tofauti na kozi nyingine,umri wa dunia ni miaka 4.5bilioni lakini binadam ametokea chini ya miaka milioni moja(sina hakika sana )zaidi ya miaka 4 bilion dunia hakukuwa na mtu yeyote,duhhh af biblia inasema ilimchukua mungu siku saba kuweka vyote vilivyomo humu duniani na binadamu akiwemo,kazi kwelikweli haina tofauti na ile ya binadamu wote wametokana na nyani
Ni kweli dodoma ipo katika stable craton.Kwanini tuna experience Earth quake dodoma na huku Dodoma ipo kwenye craton(stable craton)?
Nafikiri aliteleza sio Mozambique belt nafikiri alitaka kusema Archean greenstone belt, make Gold iliyopo Mozambique belt ni kwasababu ya overprintrd Archean, ambazo zipo pia kwenye Karagwe-Ankolean orogeny(Nyakahura -Burigi), East Ubendian-Mtera,High grade para and ortho gneisses of Isimani group(Usagaran belt)Kuna mgodi gani ambao upo kwenye mozambique belt?
Kuna group la telegram la geos wote Tanzania waweza kujinga ni nondo za maana uwa zinajadiliwa.karibuwakuu youngkato,kimberlite,john cannor,felsic,avatar mok na wengine mageologist lingeundwa group la whatsapp ili kupeana changamoto,mikakati,deals kwenye hii fani,wengi wenu mna uzoefu wa kutosha...natanguliza muswada wakuu
Swali zuri saaaana mkuu..
Napenda kuanza hivi.
1.dunia sio duara as most of people thinks. Dunia ni tufe lenye umbo undefined.. On the basis of GIS&RS(GEOGRAPHIC INFO. SYSTEM NA REMOTE SENSING)
WATAALAM WALIKAA WAKAAMUA KUTAFUTA NJIA AMBAYO ITASAIDIA KTK KUISOMA DUNIA HAPA NA MAANISHA VIPIMO KAMA VYA LATITUDE NA LONGTUDES. WAKAAMUA KUIPROJECT DUNIA KATIKA SHAPE YA SPHERICAL ILI MATHEMATICAL ARITHMETICS ZIWE POSSIBLE IN CALCULATIONS..
NIRUDI KATIKA KWANINI FORCES ZINAZOGOVERN SHAPE TOFAUTI TOFAUTI ZA MINERAL HAZI ACT KTK KUISHAPE DUNIA
DUNIA NI COMPLEX IN TERM YA INTERNAL & EXTERNAL PROCESSES. INTERNAL KUNA VOLCANIC NA SEISMIC ACTIVITIES. EXTERNAL KUNA WEATHERIN GRADATION WIND NA WATER (AELION) ACTIVITIES KWAHIYO SHAPE YA NJE INAKUWA DETERMINED NA IZI ACTIVITIES SIO HIZI TU BALI KUNA RELATION KATI YA INTERNAL NA EXTERNAL THAT'S "ISOSTATIC PRINCIPLE" KWAMBA UKU KUKIBONYEA BASI KULE KUTA TANUKA.
MINERALS KAMA MINERALS ZINA UNDWA NA AGGREGATES ZA ATOMS TOFAUT TOFAUT MF DIAMOND AU GRAPHITE STUCTURE ZAO ZIKO TOFAUTI NA FLOURITE HII NI CHEMISTRY SASA... HOW ATOMS ARE BONDS TOGETHER..
SIJUI UMEPATA MWANGA KAMA NDIO HIYO ZAWADI NONO NAOMBA UNIPE.. AMBAPO HAPAJAELEWEKA ULIZA.
ASANTE
Husipanic mkuu,
Linaitwaje hilo group.??Kuna group la telegram la geos wote Tanzania waweza kujinga ni nondo za maana uwa zinajadiliwa.karibu
Hata whatsapp lilikuwepo likajaa kwahiyo isingewezekani ku add mtu mwingine, ndo wakaanzisha group la telegram nipatie namba yako nikuadd ni kwa ajili ya geos woote TanzaniaLinaitwaje hilo group.??
Ila we suggested group la WhatsApp kwa sababu ndo inayotumika na watanzania wengi.
Na ni rahisi kupata member wa kutosha.