Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Kuna group la telegram la geos wote Tanzania waweza kujinga ni nondo za maana uwa zinajadiliwa.karibu
Mkuu ungefanya kushare link ya hiyo channel/group hapa ili tukibonyeza itudirect huko na kujoin immediately.
 
Hata FACEBOOK kuna baadhi ya magroup ya Geologist na ma- geotechnicians, kwa mfano lipo hili la GEOLOGICAL SOCIETY OF TANZANIA, though halipo active sana..
 
Kindly asking
Wapi kwa hapa dar naweza kununua geological tool kit, i.e hammer,lens,brunton compass n.k.
 
Back
Top Bottom