Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu uliza swali lolote kuhusu Anatomy nitakujibu hapa.
Karibuni
NB. Anatomy ya binadamu sio kiumbe mwengine.
Naona watu wanachanganya kati ya Anatomy and Physiology tafadhali ulizeni maswali ya ANATOMY.
Sent from my Huawei mate 9
226e865072693eb28f2166acfcd617a0.gif

4b904476fc31add075f079fa9234fe6b.jpg
28c3eb4aa7a4d1398670eb5220e39221.jpg
64253805458276a6f1a89a6e74d310a6.jpg
Maswali haya hapa ujibu bila kugoogle ndo uelewe Anatomy niya moto sana
 

Attachments

  • IMG-20230721-WA0012.jpg
    IMG-20230721-WA0012.jpg
    98.3 KB · Views: 6
Back
Top Bottom