Nilale wakati leo ni siku yanguNaomba ulale sasa
F******Ya kulinda au kufanyaje.
Usiku mwemaSawa
Nachukia uchawa kuliko chochotekubeba chuki binafsi moyoni kila mahali kila jukwaa unatembea nazo, si mzigo sana moyoni gentleman?🤣
Vizuri sana.
Naomba nikujibu kama ifuatavyo.
1. Mafanikio yangu ambayo ninayafurahia mpaka sasa ni kuachana na biashara ya kuuza mwili na kuamua kufungua ofisi yangu ndogo ya kutengeneza batiki hapa Ubungo.
Kwa sababu sikuweza kuamini kama ipo siku nitashika pesa yangu ya halali
2. Ushauri bora ulitoka kwa marehemu bibi yangu aliyekuwa ananilea tangu mchanga, aliniambia siku moja "kutokupata kwako mtoto usichukulie kama umepoteza kila kitu duniani maana wapo waliofanikiwa na hawana watoto"
3. Marehemu bibi yangu, alinilea tangu nazaliwa maana sikuwahi kumjua mama yangu mpaka hapa nilipo.
Alilea familia kubwa kuliko uwezo na kipato chake lakini alitupambania mpaka sisi kukua na kwenda kufanya maisha mengine nje ya kijiji.
Nilijifunza vingi kupitia kwake.
4. Kikubwa ambacho watu wanashangaa kuhusu mimi ni kuacha kazi ya kujiuza ambayo nilikuwa naweza kuingiza hadi Tsh laki 5 kwa siku (mbali ya kazi na kuiba pia kupo) na kuamua kufungua banda dogo la kutengenezea batiki.
Wanashangaa kwa maana kazi ya batiki si lelemama na haina faida kama ile niliyokuwa nafanya awali.
Lakini nimeweza na ninaendelea na maisha mpaka sasa.
5. Kutibu na kuponesha kabisa ugonjwa wa saratani.
6. Mtoto tu, natamani sana nipate mtoto sana.
Lakini haiwezekani tena.
7. Kwa sasa nimeshaizoea hii hali ya kutopata mtoto tofauti na awali.
Nimeikubali hii hali na ninaishi nayo sasa.
Naomba nikujibu kesho mapema
- "Ni kitu gani cha ajabu zaidi ambacho umewahi kula kwa sababu ya changamoto?"
- "Ikiwa ungekua shujaa, udhaifu wako mbaya zaidi ungekuwa nini?"
- "Ni mzaha/utani gani wa kuchekesha zaidi unaujua kwa akili?"
- "Kama ungeweza kula chakula kimoja tu kwa maisha yako yote, ni chakula kipi ungekichagua?"
- "Ni tukio gani la aibu zaidi kutoka utotoni mwako?"
- "Ni jina gani la ajabu zaidi ulilowahi kuwa nalo?"
- Kama ungeweza kuishi sehemu yeyote katika hii dunia ungetamani kuishi wapi na kwa nini? Na kama sivyo, kwanini unataka kubaki uliko?
Alamsiki.Naomba nikujibu kesho mapema
Kwa sasa naingia kazini kuandaa vitambaa vya batiki.
Asante
hyo ivf atafanyeje wakat hana mji wa mimba kwa maelezo yake, labda option ya pili ya sarrogace ila nayo naona changamoto kwani kasema haingii tena hedhi, yai la kurutubisha litatoka wapi kama anataka mtoto awe na vinasaba vyake. haya maisha sometimes acha tu.Kwa nini isiwezekane kupata mtoto? Hujafikiria kufanya IVF, au mdogo wako kukuzalia mtoto wako?
dont be too hard on her chief, she seems to be genuine.Ka wadanganye wanaosinzia bwashee
surrogace ni kwamba, yai lako na mbegu za mwanaume vinapandikizwa kwa mwanamke mwingine kwa makubaliano kwamba mtoto atakayezaliwa atakuwa ni wenu/wako, ishu ni kwamba huyo atakayepandikizwa atahitaji umlipe na katika kpndi chote cha ujauzito utamuhudumia kwa kila kitu, atakayebeba mimba kwa niaba yako ndo anaitwa surrogate mother ila mtoto anakuwa ni wako na hana vinasaba na mtoto maana ni kizazi chake tu kitatumika baaasi, kwa vile umesema huingii hedhini naona changamoto nyingine kama utataka mtoto awe na vinasaba vyako, yai la kurutubisha litatoka wapi sasa.Hii elimu bado sijaipata wala kuijua kwa kina zaidi.
Nina hutaji kuelimishwa zaidi
uropokaji na kubebwa ufala kifikra na matapeli wa kisiasa nchini ni ulofa wa kiwango cha juu sana gentleman 🐒Nachukia uchawa kuliko chochote
Uchawa ni wizi
Uchawa ni ujambazi
Uchawa ni uhaini
Ni vizuri kueleweka Binti Sayuni03 je wewe funguka kama mwenzako🤭🤭🤭 holoholo anataka kuzua balaa.
Mie wifi yako wa huku Jf, ila si uraiani
So sad!surrogace ni kwamba, yai lako na mbegu za mwanaume vinapandikizwa kwa mwanamke mwingine kwa makubaliano kwamba mtoto atakayezaliwa atakuwa ni wenu/wako, ishu ni kwamba huyo atakayepandikizwa atahitaji umlipe na katika kpndi chote cha ujauzito utamuhudumia kwa kila kitu, atakayebeba mimba kwa niaba yako ndo anaitwa surrogate mother ila mtoto anakuwa ni wako na hana vinasaba na mtoto maana ni kizazi chake tu kitatumika baaasi, kwa vile umesema huingii hedhini naona changamoto nyingine kama utataka mtoto awe na vinasaba vyako, yai la kurutubisha litatoka wapi sasa.
Leo Nusratt Mohammed nimepata nafasi kuliko siku zote tangu nimejiunga humu JF (Jamii Africa).
Hivyo basi kutokana na jambo hili natoa nafasi kwa member yeyote aliyepo MMU:-
Kuniuliza Swali,
Kunikosoa kwa lolote,
Kunishauri Chochote,
Kunipongeza kwa lolote.
ILA:
Maswali yasiyo na tija na yasiyo na mrengo wa MMU sitayajibu,
Maswali yatakayodhalilisha jukwaa sitayajibu,
Maswali ya kipumbavu na ya kipuuzi sitayajibu,
Maswali yaliyo nje ya uwezo wangu pia sitayajibu.
Kuna wale walio kwenye ignore list yangu, hao nao sitaweza kujibu maswali yao (wanajijua)
Nipongezeni, nishaurini, nikosoeni ili niweze kujirekebisha maana kuna watu humu wana hasira sana na mimi wakati sijawakosea lolote.
Najua kama nchi tunapitia kipindi kigumu sana nyakati hizi, ila tunaomba tuvumiliane tu wapendwa.
Mimi nawapenda sana wanajukwaa wa JF (JA)
Allah aendelee kutusimamia katika mapambano ya utafutaji wa riziki zetu.
Jioni njema.
View attachment 3315319