Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,216
- 30,884
relax na epuka kuropoka kilofa kwa faida ya wadau na itapendeza zaidi gentleman 🐒Tapeli namba moja la kisiasa ni Sa100
relax na epuka kuropoka kilofa kwa faida ya wadau na itapendeza zaidi gentleman 🐒Tapeli namba moja la kisiasa ni Sa100
Ungejua unavyonekana wa hovyo humu ungejinyamazia turelax na epuka kuropoka kilofa kwa faida ya wadau na itapendeza zaidi gentleman 🐒
kuonekana ni nonsense kabisaa gentleman,Ungejua unavyonekana wa hovyo humu ungejinyamazia tu
Nasubiria jibu hili babyNaomba nikujibu kesho mapema
Kwa sasa naingia kazini kuandaa vitambaa vya batiki.
Asante
Umekuja hapa kuharibu uzi, peleka siasa lumumbakuonekana ni nonsense kabisaa gentleman,
inasaidia nini kuonekana umevaa kigodoro kwa mfano?
ni muhim zaidi zingatia ukweli katika mawaidha yangu muhimu sana na itakusaiadia sana wewe, familia yako na wadau wengine makini wa JF 🐒
relax bas bila mihemko gentleman 🐒Umekuja hapa kuharibu uzi, peleka siasa lumumba
Mimi shemeji yake pia wa hukuNi vizuri kueleweka Binti Sayuni03 je wewe funguka kama mwenzako
Wewe N dume tunajua...Je hujui kutoa ndogo ni laana?Leo Nusratt Mohammed nimepata nafasi kuliko siku zote tangu nimejiunga humu JF (Jamii Africa).
Hivyo basi kutokana na jambo hili natoa nafasi kwa member yeyote aliyepo MMU:-
Kuniuliza Swali,
Kunikosoa kwa lolote,
Kunishauri Chochote,
Kunipongeza kwa lolote.
ILA:
Maswali yasiyo na tija na yasiyo na mrengo wa MMU sitayajibu,
Maswali yatakayodhalilisha jukwaa sitayajibu,
Maswali ya kipumbavu na ya kipuuzi sitayajibu,
Maswali yaliyo nje ya uwezo wangu pia sitayajibu.
Kuna wale walio kwenye ignore list yangu, hao nao sitaweza kujibu maswali yao (wanajijua)
Nipongezeni, nishaurini, nikosoeni ili niweze kujirekebisha maana kuna watu humu wana hasira sana na mimi wakati sijawakosea lolote.
Najua kama nchi tunapitia kipindi kigumu sana nyakati hizi, ila tunaomba tuvumiliane tu wapendwa.
Mimi nawapenda sana wanajukwaa wa JF (JA)
Allah aendelee kutusimamia katika mapambano ya utafutaji wa riziki zetu.
Jioni njema.
View attachment 3315319
Vp tena mbona nje njeKmmmko
Usiniletee upuuzi hapa.
Pole sanaOna alichoandika huyo mpuuzi hapo juu
Yuu made my dei if kama kuna nyingine plz daaah aiseee maisha haya...