Niulize, Nipongeze, Nikosoe, Nishauri

Asante sana.

Unajua wakati mwingine tunaingia humu mitandaoni kujifariji tu ila nyuma ya keyboard tuna maumivu makali sana na huwa tunakufa kimya kimya.
Hakuna namna
Sijibiwi kwa nini lakini?
 
Je, ukikutana na secretarybird kwa bed πŸ›οΈ unahisi itakuwaje.
Unahisi unaweza kupiga makelele ya furaha kwa nguvu, kunikodolea macho kama kanakwamba umetokwa na akili, kulia kwa maumivu kisa ukubwa wa dushelele au vyote kwa pamoja.

Ukipenda unaweza kunipa jibu kupitia PM
 
Hapana, sihitaji kuolewa tena.

Nimeshaamua kupambana kivyangu, hii inatosha.
Unaweza kuolewa na mwanaume mwenye watoto tayar na ambaye hatak kuzaa tena.
Na maisha yakaenda vizur.

Weng wanakuwa wakubwa na washamaliza ujana.... umri unavyozidi kwenda ni muhimu ukawa na mwenza mmoja anaeeleweka na kuheshimika.

Alaf Watoto wa wadogo zako na watoto wa kaka/dada zako ni wako. Hivyo ww una watoto ila sio wa tumbo lako..
Watunze ili waje wakutunze ukiwa huna nguvu huko mbele.

Dah unazeeeka na Tako lako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na pia usikomae na maisha mwenyewe shemej.

Na mtegemee Mungu.
In God we Trust...

Ushaur wangu Shemej
 
Ok unaweza share kidg maumivu uliyosemea hapo juu?

Unaona watoto wetu wa kizazi hiki wakiwa kizazi chetu cha 2010's ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…