Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 21,855
- 27,024
Hapo umekosea, Tafadhari futa hiyo post.
Hapo umekosea, Tafadhari futa hiyo post.
mbona kawa tu. Kwani walioianzisha hata mmoja tu wako wapi? Hilo sio jambo jipya ila nayo kuna siku itakufa fwiiii tisahau kabisaaaa. Tuliona ZANU, KANU na wenzao UNIP wako wapi????
Maswali mengine uwe unauliza sehemu maalum(specific) kama Kongwa,Chato nk lakini kuuliza humu nikujiharibia siku tuHabarini wanaJF.
CCM ni chama pendwa Tanzania , Afrika Mashariki na Kati !
Naomba uniulize chochote kuhusu CCM, nitakujibu.
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio 80 % mzee ni 99% only 1 wako sawa upstairs hawazidi 20Mbona wanachama wenu wengi sana zaidi ya 80% ni illiterate?
ningependa kuwafahamu wajumbe wa kamati ya usalama na maadili ngazi ya taifa, mkoa na wilayaHabarini wanaJF.
CCM ni chama pendwa Tanzania , Afrika Mashariki na Kati !
Naomba uniulize chochote kuhusu CCM, nitakujibu.
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app