Niulize lolote kuhusu CCM

Kwanini Chadomo hawaipendi CCM ilihali ndo inayowapa Viongozi wanaowategemea kwenye uongozi wa juu na chaguzi za urais?
 
jamaa kajitafutia shida huyu alifikiri atapata maswali mepesi hii inaonyesha hata kura watu ndivyo wanavyopigaga kwamba wengi hawaipendi CCM ila inashinda kibabe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Serikali ya ccm inashangaza sana….Hiyo pole haikuonekana wkt wa uvamizi wa majeshi ya serikali pale clouds....mbona hakuwahi hata kukemea? mbona tume iliundwa kuchunguza aliyeunda tume akatumbuliwa?....HUU UNAFIKI HUU CJUI KWA KWELI\

R.I.P RUGE
Unafiki wao kamili utauona kwenye msiba kuanzia Kijani kutamalaki mpaka vilio na masikitiko feki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom