Niulize lolote kuhusu CCM

Niulize lolote kuhusu CCM

Baada yajiwe kuvurunda ,massive failure unafikiri kila anayeshinda kura za maoni ccm anafaa kuwa rais ?
 
Mimi sitaki hata kukuulizia kuhusu hili lichama halina faida kwa jamii, yaani ni kama ugonjwa unaotaka kukosa tiba!🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
 
Habarini wanaJF.

CCM ni chama pendwa Tanzania , Afrika Mashariki na Kati !

Naomba uniulize chochote kuhusu CCM, nitakujibu.

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujua CCM huwa wanawapa kitu hani watu wanaohamia huko hadi kugeuka misimamo waliyokuwa nayo kabla ya kujiunga nayo mf. Kabudi, poe pole, na huyu katibu wao wa sasa?
 
CCM mmejipangaje kulipa matrilioni mliyowaibia watanzania?

Kwanini CCM mlishindwa kumwandaa rais awamu ya tano mpaka mkaamua kutuletea mtu anayejiita kichaa?

Kwanini nyie CCM mliuza gesi kwa mtutu wa bunduki kisha mnakuja kutuambia eti tuliibiwa?

Kwanini CCM mnafikiri kinyumenyume? Mfano takwimu zikionyesha uchumi umeporomoka CCM mnasema umekua;
mkiambiwa katiba haifai masikio yenu yanasikia inafaa;
mnasema rushwa ni adui wa haki, lakini CCM mnakumbatia wala rushwa;
mnaandika ilani ya kurekebisha katiba baadae mnaigeuka;
mnaambiwa sheria ya vikokotoo mbovu, nyie mnapitisha kwa dansi na kusasambua bungeni;
yaani kila jambo zuri mnaloshauriwa nyie CCM mnaligeuza kinyumenyume. Kwanini?

Ni upi uhusika wa CCM katika mambo ya utekaji?
(Hasa hasa ile sinema maarufu ya utekaji wa Mo ilisababisha polisi watuletee picha za rangi na kuziita za CCTV a.k.a sisiTV a.k.a nyieTV).

Ni kweli kuwa Ibilisi ndiye baba yenu mlezi wanaCCM siku hizi?
 
Ukuda na roho mbaya katika siasa vimetoka wapi??? Waasisi wa CCM hawakuwa kwa kiasi hiki na mara zote wametoa nafasi kwa wengine kuwa na mawazo pamoja na mitazamo tofauti.

Hawa wa CCM mpya nini kimewakuta na kuanza kutopenda watu na wao wenyewe kuwa waoga kupindukia.
Habarini wanaJF.

CCM ni chama pendwa Tanzania , Afrika Mashariki na Kati !

Naomba uniulize chochote kuhusu CCM, nitakujibu.

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uhusiano gani ccm na waokota makopo jalalani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Naongezea picha
tapatalk_1534791584816.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM ni chama cha siasa au ni wizara mmojawapo ya serikali?

Kwanini wahindi wote maarufu kibiashara ni CCM?

Nani mtungaji wa sera za CCM kwa sasa?

Nani anakaimu nafasi ya Kingunge ndani ya CCM kwani hakuna mbadala wake?

Nini wosia wa Mwl.Nyerere kuhusu kuhamisha makao makuu,na kwanini alighaili kuhamia Dodoma?
 
Back
Top Bottom