Niulize chochote

.

Nzuri sana hii. Mpana kimawazo. Nmeipenda. Swali langu ni.....??
 
Ni nini na ni wapi JF?

JF ni home of great sinkers, imejaa watoto, vijana na wazee......., idadi imeongezeka zaidi baada ya matokeo ya form 4 2012.

Jf iko everywhere, ni wewe tu na roho yako...kama utataka kuiaaccess chooni, jikoni, mwanza, rwanda, usa, ni wewe tu na roho yako
 
Wewe ndio kwanza umeingia CC leo, umejuaje kuwa wanaCC hawafahamiani na wala hawajaweka utaratibu wa kufahamiana??

Kufahamiana kwa CC ninakokujua ni kwa kuonana live, lakini huu wa kuulizana maswali sijawahi uona hapa
 
Kwa nini umegeuza kyupi nyuma mbele???

Ndio bibi alivyoniambia niwe nafanya hivyo ili niokote hela. Kwa mila zetu ukigeuza hiyo nguo unapata hela
 

Rudia tena..!?? "Jf ni home of great.......""!???
 
Unaufahamu wimbo wa JF?...imba ubeti mmoja.

Unasema hivi; kila mwanume hata aliyeoa anasema yuko single, wadada wa JF wote hata walio na age 30's ukiwauliza watakuambia ni 20's (rudia huu ubeti)
 
Kuna maswali "YA MSINGI".ameuliza watu8 , yajibu kwanza afu tuendelee


Kwenu hayo ndio ya maana??kweli wewe umo kwenye ile 60% ya necta, vipi ulishajisajili kureseat??aau umeamua kwenda ufundi magari pale kwenye gereji ya mchina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…