Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 2,287
- 4,507
Karibu kwenye uzi huu! Una swali lolote kuhusu mada yoyote? Niulize papo hapo, nikujibu haraka iwezekanavyo.
Msichana ambaye hana mtoto na anatarajia kuolewa na single father unamshauri vipi?Karibu kwenye uzi huu! Una swali lolote kuhusu mada yoyote? Niulize papo hapo, nikujibu haraka iwezekanavyo.
Azingatie maokotoMsichana ambaye hana mtoto na anatarajia kuolewa na single father unamshauri vipi?
Kama hamna maokoto asikubali?Azingatie maokoto
Hili swali ningekuwa nimeshafuturu ningejibuMungu alitoa wapi mada/Material ya kuumba huu ulimwengu?
Pia naomba alipata wapi akili alizonazo wakati hakukuwa na shule
Kwanini kwenye kutafsiri maana ya giza lazima ndani yake watu hugusia mwanga..?Karibu kwenye uzi huu! Una swali lolote kuhusu mada yoyote? Niulize papo hapo, nikujibu haraka iwezekanavyo.
Jibu tu hivohivo hata kama una njaaHili swali ningekuwa nimeshafuturu ningejibu
Karibu kwenye uzi huu! Una swali lolote kuhusu mada yoyote? Niulize papo hapo, nikujibu haraka iwezekanavyo.
Hakuna baba bila mama.Kwanini kwenye kutafsiri maana ya giza lazima ndani yake watu hugusia mwanga..?
giza kama giza kwanini isiwe na tafsiri yake bila kugusia mwanga..?
is the darkness has frequency..?
if yes why..? and if no why..?
Aliona atakosa uhuru wa kujiachia na Cleopatra.Kwa nini Julius Caesar alikataa kuwa mfalme wa Roma, licha ya kuwa na nguvu kubwa kisiasa?
Nitaharibu😁😁Jibu tu hivohivo hata kama una njaa
Cleopatra alikuwa anampa niniAliona atakosa uhuru wa kujiachia na Cleopatra.
Ngano yenye chachu 😹Cleopatra alikuwa anampa nini
Momy haya maswali huyawezi unaona hata ulivyojibu!..🤣Hakuna baba bila mama.