Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

Hizo ni propaganda maana msimu wa asali na tumbaku ni tofauti pia asali hupatikana katika misitu minene
Kwahiyo ukishavuna asali ndipo unapanda tumbaku!?, Ukishavuna tumbaku ndipo unaotesha asali!?
 
Majebele ni jina la kisukuma na si mnyamwezi na sijui kama kama alikuwa mtemi
Majebele alikuwa mtemi wa utemi wa Mwagala wilaya ya Maswa sasa mkoa wa Simiyu alikuwa maarufu sana huko usukumani alikuwa mwenyekiti wa watemi wote eneo la usukumani
 
Waarabu wapo maeneo hayo ya Sikonge na Tutuo ila waarabu wanatabia ya kuoana wenyewe mtoto baba mkubwa na mtoto wa baba mdogo mtoto wa mama mdogo na mtoto mama mkubwa
mkuu unaonaje tukaweke kambi hata 3days
 
Hili Ni moja ya eneo hatari Sana kuishi.
Kuna uchawi na imani za kushirikiana kupita kiasi ....

Wazawa wengi wameikimbia sikonge....

Ni kawaida Sana watu kuuwawa kushirikiana
Hakuna MAENDELEO
Hata ukivaa nguo mpya au kupita wazee bila kuwasalimia unapata matatizo
Tuanze na hayo

Cc. Mahandow
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom