Niulize chochote kuhusu Wi-Fi

Husika na mada tajwa hapo juu nataka mwenye swali lolote kuhusu wi-fi niulize tu nikupe majibu chap kwa ambao hamjui chochote
Niliwahi fika hotel fulani nikakuta free wi fi lkn nilipounga automatically ilifungua browser na kufungua service zao zote kwenye web page bila hata mimi kujua address husika.

Swali ni kuwa:-

1. Ni router gani zinaweza kufanya hivi?

2. Ile address ipo local na sio online ni kwa namna gani naweza link device husika na webpage iliyo kwenye local server?

3. Ili upate internet unapewa random wepkey ambayo inakuwa expired after every 24 hours. Hii ni features ya model fulani ya router au pc software?

4. Naomba unipatie router model ambazo ni intelligent ila iwe user friendly
 
Niliwahi fika hotel fulani nikakuta free wi fi lkn nilipounga automatically ilifungua browser na kufungua service zao zote kwenye web page bila hata mimi kujua address husika.

Swali ni kuwa:
Hzo n wifi zenye kitu kinaitwa captive portal. Hizi zinakua ni open wifi ila zinakuhitaji uweke credentials ili uweze kuzitumia. Mara nyingi zinatumika kwenye ma hotel na taasisi ili kurahisisha utumiaji wa wifi kwa wale wenye vibali tu.

Kma kwenye taasisi huwa wanatumia account ya kazini ku login na kwenye hotel ni hvyo wanakupa token. Hii inawasaidia kulimit watu kutumia internet ambayo hawastahili. Ukiweka password ya kawaida tu basi baada ya mda itasambaa na mwsho unakua na wanyonyaji wasiostahili kuwa nayo.


Karibia router zote modern zina support Captive portal. Ila hasa LinkSys na D-Link ndio uhakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Broo kama unabisha screenshot simu yako upande wa about phone alafu nitumie nikuonyeshe sasa ndo utajua sijui
Baseband ina contain modem firmware. Huwezi ifanyia chochote zile number mbale ni version number tu
Screenshot_20210210-000856.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom