Niulize chochote kuhusu Wi-Fi

Niulize chochote kuhusu Wi-Fi

Mleta mada hakuna kitu,hujibu maswali kama inavyopaswa,umejaa ubabaishaji tu,bila shaka ndio umeanza masomo ya IT hujamaliza hata wiki mbili umeshajiona mtaalamu! wachangiaji wa mada wanajibu maswali kuliko mleta mada,
Acha kua na haraka dogo,endelea na masomo kwanza,Dunia ipo utaikuta tu.
 
mleta mada ajamaliza cours bado inaonekana ndo mwaka wa kwanza kwenye IT anakwepa maswalii....
itakua yuko phield
 
Kuna siku pc yangu ilidetect wi-fi iliyo secured na nilikuwa na kiu ya internet, nikaanza kubuni mapassword mara kadhaa, akili ikanijia kimasihara tu nikaandika neno "i love you" cha kushangaza kitu kikaconnect nikaanza kulamba youtube na kudownload vitu.

Tokea siku hiyo sijawahi tena kuotea password kama nilivyootea siku hiyo, sijui hata ilitokeaje hiyo.

Sent from my cupboard using mug
 
Pc yangu inagoma ku connect wi-fi unaweza nambia tatizo nini
JPEG_20210416_170532_698182282821431755.jpg
 
41.59.81.52

Hyo hapo, furahi na roho yako baba. Nikukumbushe kuwa natumia Google Pixel iko kwenye latest android version (android 11) na ipo kwenye latest security patch (february 2021) naomba unihack utuaminishe hapa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
Alifanikiwa kukuhack? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona akasepa kabis
 
Back
Top Bottom