meridianbet
Member
- Nov 18, 2015
- 11
- 5
Niulize chochote kuhusu offer za meridianbet nitakusaidia au option yeyote inayokusumbua
Waambie mabosi wako.waongeze option. Kwenye cmNiulize chochote kuhusu offer za meridianbet nitakusaidia au option yeyote inayokusumbua
Mbona tuna option nyingine sana labda we ulikuwa una shauri option zipi ziongezwe?Waambie mabosi wako.waongeze option. Kwenye cm
Hatuna mifumo ya GPRS kama ya premier sisi tuna mifumo ya PC ambayo iko support na shopsMm nipo arusha na ninataka hiyo machine ya kubetia ntapataje
Kwani mbet.na meridian bet ni tofauti?wekeni no red card.na 10 minutes no goal.kwenye cmMbona tuna option nyingine sana labda we ulikuwa una shauri option zipi ziongezwe?
Mkuu odds zinatokana na analysis tu za kawaida ila ukitaka kituparula zidi kuwa nasiHebu eleza zile odds mnazicalculate vipi au mnazitoa wapi? Ni formula gani mnatumia...
Pia nataka nianze kubet merdian sasa hebu sema nitumie mbinu gani ili niwapararue kile nikibet..!
Mbona hizo options zote zipo meridian mkuu ila mbet na meridian ni kampuni mbili tofautiKwani mbet.na meridian bet ni tofauti?wekeni no red card.na 10 minutes no goal.kwenye cm
Hapo sawa.ila mbet.hizo option hakuna.mimi uwa sipendi kujichoresha uwa napenda kubet kwenye cm.Mbona hizo options zote zipo meridian mkuu ila mbet na meridian ni kampuni mbili tofauti
Una place bet kupitia kampuni ganiHapo sawa.ila mbet.hizo option hakuna.mimi uwa sipendi kujichoresha uwa napenda kubet kwenye cm.
asante kwa maswali yako mr Dahafrazeril kila biashara ina changamoto zake moja ya chanagamoto yetu ni kwenye utambuzi wa umri wa mtu kama yuko above 18 ili tuweze kumpa huduma endapo tutamtilia shaka mtu kuhusu umri wake basi tutaomba vielelezo vya kadi ya mpiga kura au kitambulisho cha taifa au kutompa huduma.Nina maswali mengi ya kuwauliza ila nianze na haya machache!
1,Hamuwaruhusu wenye umri chini ya miaka 18 kubeti.Hili mnalifuatilia vipi ili kujua kuwa wenye umri chini ya hiyo miaka hawabeti?.Ni kweli kuwa katika Ofisi zenu zilizozagaa kila pembe ya nchi wanawatambua wenye umri chini ya miaka 18,Vipi wakina siye wenye miili mikubwa halafu miaka 15?.
2,Ni kwanini kiwango cha chini kabisa cha kubeti iwe Tsh 500?.Kwanini siyo Tsh 100,1000,5000,10000,100000,nk?.Au mlengo wenu ni kwamba hata yule mvujajasho wa kondeni naye aweze kumudu kuwatajirisha?.
3,Lengo lenu kuu katika biashara ya kubeti ni ipi?.Kuwasaidia vijana juu ya umri wa miaka 18 kuwa na maisha bora au kumfanya kijana mzalishaji ategemee kuwa anaweza kupata Mil 10 pasipo kufanya kazi?.Jibu ni lipi haswa?.
4,Mnaangalia upande wa fedha tu au hata mmomonyoko wa kimaadili katika jamii mnalizingatia?.Mnajua kuwa biashara yenu imeshawafanya baadhi ya watoto kuwaibia wazazi wao fedha ili wakabeti?.Mnafahamu kuwa maelfu ya wanafunzi nao wanabeti?.
Nb;Naomba usinipe majibu miepesi katika maswali yangu niliyoyauliza,Nipe maelezo ya kuridhisha umma wa watanzania wenye kuwa fikra ya maswali kama yangu.
Betting is not an entertainment, it's an investment.Niulize chochote kuhusu offer za meridianbet nitakusaidia au option yeyote inayokusumbua
You're wrong that's entertainment businessBetting is not an entertainment, it's an investment.
Hiyo nayo ni mojawapo ya changamoto tunalifanyia kazi mkuumnazengua kichz cku za weekend mtandao wenu unasumbuaga sana halafu ni nyie tu tz ukicheki website ya meridian russia hata haizengui au ndo mnachezeshaga network makusudi?
aisee hongereni mnajitahidi sana ingawa kwe upande wa mtandao kusumbua cku zenye mechi nyng mnatuletdown sna hvyo weng wetu hubet kwe kampun zngne cku za weekend nna swali moja kuhusu kitu kinaitwa fastbet..hivi mmewalimisha vizuri wahudumu wenu kuhusu hii kitu? maana mi nmesoma kwe site yenu maelekezo mliotoa nkaweka mke wangu kwa kupitia pc yangu then nkaenda branch ya fire na zile namb kutoa mkeka naona watu wanantolea macho tu....Niulize chochote kuhusu offer za meridianbet nitakusaidia au option yeyote inayokusumbua
hayo maswali mkuu ni vema ungeiuliza serikali inayotoa lesen ya biashara hii na ilioweka bodi ya michezo ya kubahatisha hao ndo wangekupa majibu mazuriNina maswali mengi ya kuwauliza ila nianze na haya machache!
1,Hamuwaruhusu wenye umri chini ya miaka 18 kubeti.Hili mnalifuatilia vipi ili kujua kuwa wenye umri chini ya hiyo miaka hawabeti?.Ni kweli kuwa katika Ofisi zenu zilizozagaa kila pembe ya nchi wanawatambua wenye umri chini ya miaka 18,Vipi wakina siye wenye miili mikubwa halafu miaka 15?.
umma wa watanzania wenye kuwa fikra ya maswali kama yangu.