Niulize chochote kuhusu Lushoto

Status
Not open for further replies.
Kwanza ikulu inalindwa 24hrs na sasa olewako ukutwe au wakuone unapiga picha eneo lile utaipata ya moto.
Ila pako vizurii majani mazuri utafikiri New york
 
Ikulu ipo mlimani afu kimyaa hadi raha
 
Kwanisikiavyo unachiksema kina ukweli coz wanamsema mtoto ni wamama na ndio maana watoto wanaegemea upande huo CC MUSSOLIN
Je, ni kweli watoto wa kisambaa huegemea upande wa mama zaidi yaani wajomba kuliko mababa wa kubwa,wadogo na mashangazi.
 
Last edited by a moderator:
Kwanin wanaume wa lushoto kazi nyingi za familia uwaachia akina mama na wanaume uamkia kunywa boa
 
Sisi wa Enzi hizo hivi lile disco letu green valley na hub club yapo?totoz za mazinde juu,kifungilo,shambalai,kongei gonga sana zile Enzi izo na mhuni mmoja alikua kinyozi sijui bado Suma yupo jamani???
 
Upande wa soccer lilikuapo chama langu Bange boys yaan team ilikua ina chekesha hiyo nakumbuka kuliwai tokea tifu adi ikafungiwa na huo ukawa mwisho wake.
 
Hub Club ipo mkuu
Sisi wa Enzi hizo hivi lile disco letu green valley na hub club yapo?totoz za mazinde juu,kifungilo,shambalai,kongei gonga sana zile Enzi izo na mhuni mmoja alikua kinyozi sijui bado Suma yupo jamani???
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…