Niulize chochote kuhusu Lushoto

Status
Not open for further replies.
haswaaaa
 
Karibuni wadau wa Jf uliza ujibiwe kuhusu wilaya ya Lushoto na maeneo yake. Hii ni moja ya wilaya nzuri kabisa ndani ya mkoa wa Tanga. Karibuni...

CC: mshana jr

Nasikia lushoto kweme zinapatikana kwa wingi sana....Gharama za viwanja na mashamba zipoje lushoto?
 
Kimweri hakutokea bara. alizaliwa Soni ni mjukuu wa Mbegha chotara aliyetokea wilaya ya kilindi karibu na milima ya Nguu.
 
Last edited by a moderator:
Kimweri hakutokea bara. alizaliwa Soni ni mjukuu wa Mbegha chotara aliyetokea wilaya ya kilindi karibu na milima ya Nguu.
Rudia tena kusoma post yangu mkuu, hakuna seheme nimesema kimweri katokea bara, ila nimesema ana asili ya bara la ASIA,
 
Karibuni wadau wa Jf uliza ujibiwe kuhusu wilaya ya Lushoto na maeneo yake. Hii ni moja ya wilaya nzuri kabisa ndani ya mkoa wa Tanga. Karibuni...

CC: mshana jr
Natafuta kiwanja au shamba karibia na Sekuko university. Vinapatikana? Una no ya dalali tafadhali?
 
Last edited by a moderator:
Mimi mwenyewe upande wa mama ni msambaa wa kwetonge -Mashewa Korogwe ila kwa wewe Bategereza hatuna shemeji.

Hayo ni maneno yako. waifu ananiamini mia kwa mia
. Magari yetu yote ni jina lake. nyumba ya pili na mashamba ni jina lake. ATM zote anatunza yeye. saa mbili usiku nishafika home. Jumapili tunakua wote masaa 24. Akija mjinga hapa kwetu kkufuata mali zangu nikifa amegonga mwamba. cha zaidi we love each other. sasa kama unasema huna shemeji ni maneno yako na maneno hata kwenye kanga yapo
 
Vipi kuhusu manyau ya meeda ,corner bar bwana shemeji.
 
shemejiiiiii
 
Vipi kuhusu manyau ya meeda ,corner bar bwana shemeji.

Yale manyau mara moja moja sio mbaya. kaka ikiwa hata mawaziri wana michepuko itakua mimi mtu wa kawaida. Nipe jina la mtu mmoja ambae hana mchepuko na mimi ntaacha MEEDA
 
Natafuta kiwanja au shamba karibia na Sekuko university. Vinapatikana? Una no ya dalali tafadhali?

kuna kiwanja kinapatikana sehemu moja inaitwa Kwesimu njiani kuelekea Sekuco
 
Kuna maeneo inapatikana kwa urahisi kuna maeneo ni adimu
 
Yale manyau mara moja moja sio mbaya. kaka ikiwa hata mawaziri wana michepuko itakua mimi mtu wa kawaida. Nipe jina la mtu mmoja ambae hana mchepuko na mimi ntaacha MEEDA

Yule babu wa Garage bado yupo Meeda pale, unampa buku unapata boksi unagegeda kwa buku 5.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…