Niulize chochote kuhusu Jiografia

Niulize chochote kuhusu Jiografia

Niliwahi kusikia upinde wa mvua ni ahadi kati ya Mungu na nabii Nuhu ili kuzuia mvua ya gharika je ni kweli?
Hapana si kweli, hiyo rainbow inaakisi mwanga wa jua ambao una rangi zote unazoziona.. Huo mwanga hata ukipitishwa kwenye prism utatoa hizo rangi ambazo ni red, orange, yellow, green, blue na violet
 
nna swali kweny layers aof atmosphere y exosphere z dark while as we go up from the first layer we aproach the sun?
Gases ambazo zipo katika layer husika ndizo zinatoa hayo matokeo pasipo kuzingatia altitude yake!!
 
Kama wanasayansi wanavyozidi kubuni Telescope zenye uwezo wakuona mbali zaid na wanazidi kugundua vitu sayari nyota zilizo mbali sanaa na dunia"
Je kuna mwisho/ukingo wa huu ulimwengu?
Mpaka sasa wanasayansi wengi wanaamini ulimwengu ni infinity hivyo ni ngumu kukuta kingo, kingine ni kwamba kila sekunde ulimwengu unazidi kutanuka tena kwa kasi ya ajabu!!
 
Mtoa mada mbona umekimbia? Majibu unayotoa pia hayajitoshelezi au umeenda kugoogle.
Yepi ambayo hayajitoshelezi? Hapa nimechokoza mada tu si lazima mimi nijibu, kama una mchango unaweza kuongeza pia!
 
9745a922eb0c9450b62b0b16cc95819c


Wana Sayansi wamegundua mlolongo wa Sayari nyingi zisizo na idadi ambazo tabia yake ni kama Sayari yetu hii tuliyomo.Hili unalizungumziaje?
Kikubwa naona uwezekano wa kuwa na maisha huko kwingineko, maana kadri muda unavyokwenda zinazidi kugunduliwa sayari ambazo kwa namna moja au nyingine.. Hivyo probabilitu ya kuwa na intelligent life huko inazidi kuwa kubwa, hivyo wanasayansi wanazidi kutuma signals ambazo pengine zinaweza kupata responses!!
 
tunaaminishwa kuwa distance ya jua na dunia ni kati ya 149_152mil of km,how sure ktk ili wakati tunajua akuna kitu ambacho kinachoweza kulifikia jua kutokana na miali yake kuwa mikal sana kiasi kwamba kinayeyusha kila kitu
Hizo distance ni just approximation.. Na kujua distance toka kwenye jua si lazima chombo kiende huko, mathalani ukijua umbali toka duniani kwenda sayari nyingine kama pluto, unaweza ukapata relative distance kwenye sayari nyingine na jua pia!!
Pia ukijua mass ya kitu, ukajua speed ambayo mwanga unasafiri toka point A kwenda B basi utajua distance pia( watu wa fizikia wanaweza tolea ufafanuzi hili jambo)
 
Ikiwa wanasema wakati kuna sehemu huwa mchana na kwingine huwa usiku, je ikitokea mtu anasafiri katika haya maeneo kuna sehemu anaweza kufika na kuona mpaka wa giza na mchana? Nini hutokea katika upimaji wa muda
Hakuna mpaka utakaouona zaidi ya kuona changes katika mwanga na giza... Kumbuka jua linaaffect eneo kubwa.. Hata haya masaa tuliyonayo ni just approximation!!
Mathalan chukulia mfano tofauti ya masaa kati ya kigoma na dsm.. Huwezi ona mpaka mahali!
 
Jamani naomba Soft copy ya notes form one to form four. Natanguliza shukrani zangu.
 
je nini kinatokea pale ndege inapokua angani mala ghafla bin vuu tunaskia midundo dundo/mtetemeko mkali kana kwamba ni matuta tunayavuka na ndege wakati tuko angani? ni nini kinasababisha? je inaweza kusababisha ndege kukatika katikati?

MFANO ANGALIA HII VIDEO


Waarabu ndo waoga hivi??!!
 
Nakaribisha maswali kwenye hili eneo kuhusu tabia nchi, hali ya hewa, mabonde, milima, mito, bahari, mazingira, majanga ya asili, anga na mengine yaliyomo. Lolote linalokutatiza uliza, majibu utapata hata kama siyo kwangu wengine watasaidia.

View attachment 372747

Kwann daresalam imezungukwa na miji mingi?
 
Hizo distance ni just approximation.. Na kujua distance toka kwenye jua si lazima chombo kiende huko, mathalani ukijua umbali toka duniani kwenda sayari nyingine kama pluto, unaweza ukapata relative distance kwenye sayari nyingine na jua pia!!
Pia ukijua mass ya kitu, ukajua speed ambayo mwanga unasafiri toka point A kwenda B basi utajua distance pia( watu wa fizikia wanaweza tolea ufafanuzi hili jambo)
kwaio inamaana distance ya orbit 1 na nyingine ni sawa..?
 
Isostacy theory imeelezea vizuri hii kitu...
Kiasi kinachokuwa eroded ndicho kinaenda kutengeneza mgandamizo ambao baadaye unatengeneza mwinuko hivyo balance inaendelea kuwepo!!
apo sawa mkuu
 
Back
Top Bottom