Niulize chochote kuhusu Jiografia

Niulize chochote kuhusu Jiografia

Je dunia ni nini? Kama dunia ni ardhi na mbingu yake mbona mnapo dai kuwa dunia inazunguka sijawahi kuamuka labda nipo marekani?
 
Geographical Information System (GIS) inahusika na mambo gani? Je hapa bongo tunayo?
 
Ndege inasukumwa na nguvu ya ziada(engine) toka point A kwenda B.
Na kama hivyo ndivyo,...basi ndege ingekuwa haitumii nguvu kuelekea magharibi,ingening'inia tu,ikitegemea mzunguko wa dunia mpaka kufika hiyo point B.
 
Nakaribisha maswali kwenye hili eneo kuhusu tabia nchi, hali ya hewa, mabonde, milima, mito, bahari, mazingira, majanga ya asili, anga na mengine yaliyomo. Lolote linalokutatiza uliza, majibu utapata hata kama siyo kwangu wengine watasaidia.
Je, zinahitajika walau (minimum) satelaiti ngapi zinazoizunguka dunia ili ziweze kuchukua picha ya eneo moja mahususi kwa nyakati zote bila kuathiriwa na mizunguko ya dunia?
 
Me swali langu nauliza.
Tunaaminishwa dunia ni duara!
Je hili duara limejitengeza vipi ili hali unaweza kutoka nje ya dunia bila kizuizi?!bottom line nieleweshe dunia iko duara kivipi angali hakuna (dome)kizuizi mbali na hapo je ukisimama hewani meter 10.000 je ukishuka kwanini usiangukie nchi ingine ikiwa dunia inazunguka.
U got my point
 
Hakuna tofauti, mara nyingi makao makuu ya nchi yanakuwa katika mji mkuu! Hivyo basi mji mkuu ambao unakuwa makao makuu ya nchi shughuli zote kuu za serikali zapaswa kufanyika hapo!
Kwa tafsiri hiyo hapo juu, mji mkuu kwa Tanzania ni Dodoma na makao makuu pia, na ndiyo maana zinasikika harakati za kuhamishia shughuli kuu za serikali huko!!
mbona mji mkuu wa tanzania ni dar es salaam na makao makuu ya tanzania ni dodoma
 
tunaaminishwa kuwa distance ya jua na dunia ni kati ya 149_152mil of km,how sure ktk ili wakati tunajua akuna kitu ambacho kinachoweza kulifikia jua kutokana na miali yake kuwa mikal sana kiasi kwamba kinayeyusha kila kitu
 
Ikiwa wanasema wakati kuna sehemu huwa mchana na kwingine huwa usiku, je ikitokea mtu anasafiri katika haya maeneo kuna sehemu anaweza kufika na kuona mpaka wa giza na mchana? Nini hutokea katika upimaji wa muda
 
It thought before there was a single Mass land called Pangaea, due to internal disturbance broke it, na kupata mabala ndo tunaaminishwa, bt how sure is? Na who discovered planents, alutumia kifaa gani.
 
Kwa nini baadhi ya mikoa apa tanzania watu utofautiana kwa rangi mfano watu wa ukanda wa kigoma ni weusi kwa asilimia kubwa tofauti na watu wa singida na arusha?
 
Dinosaurs ni viumbe vya katika hadithi au kweli? na kama kweli kwanini vilitoweka na binadamu tusitoweke.
 
Mbona naona maswali tu sioni majibu huyu mtoa uzi ameishia mitini?
Jiografia za nyuma kidogo hata miaka ya themanini zilituaminisha kwamba ulimwengu una sayari 9 leo wansema wameshagundua mass nazingine sijui zina majina gani; je hizi zimetokea hivi karibuni.....au uwezo wa mwanasayansi tusiuamini sana?
 
Mkuu dunia inapozunguka inazunguka pamoja na anga lake(Atmosphere), hivyo chochote ambacho kipo ndani ya atmophere kitaenda pamoja na mwendo wa dunia, hii ndiyo maana mvua inanyesha eneo moja hata masaa 24..
Naomba nikuulize
Nijuavyo atmosphere ni hewa something intangible inakuwaje wakati wa rotation na revolving inakua attached together na earth ambayo ni solid?
 
Naomba nikuulize
Nijuavyo atmosphere ni hewa something intangible inakuwaje wakati wa rotation na revolving inakua attached together na earth ambayo ni solid?
Sayansi hiyo sasa, ni jiografia gani hiyo!!!
 
tunaaminishwa kuwa distance ya jua na dunia ni kati ya 149_152mil of km,how sure ktk ili wakati tunajua akuna kitu ambacho kinachoweza kulifikia jua kutokana na miali yake kuwa mikal sana kiasi kwamba kinayeyusha kila kitu
 
Back
Top Bottom