Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 15,876
- 36,235
- Thread starter
- #21
Kikubwa hapa tunatakiwa kujua namna mvua inavyofanyika.. Habari za simba kuzaa ni story tu za mtaani!!Kwa nini mvua inanyesha huku jua kali linawaka?
Nakumbuka tulikuwa tunaambiwa kwamba Simba amezaa, kijiografia ikoje?
Mvua ni matokeo ya mvuke uliojikusanya toka vyanzo mbali mbali vya maji na kujikusanya katika mawingu, mwisho wa siku mawingu yanaposhindwa kuendelea kuhold uwe mvuke unabadilika form yake na kuwa maji na hatimaye kuanguka kama mvua!
Kwahiyo mvua inaponyesha haimaanishi kwamba jua linakuwa halipo(mchana)ila linakuwa tu limezibwa na mawingu... Kama kutakuwa hakuna mawingu ya kutosha ya kuliziba jua, basi litaonekana tu na kupelekea kutengeneza kitu kinachoitwa Rainbow.. Ambayo mtaani wengine wanaita "kipinga mvua"