Hakuna tofauti, mara nyingi makao makuu ya nchi yanakuwa katika mji mkuu! Hivyo basi mji mkuu ambao unakuwa makao makuu ya nchi shughuli zote kuu za serikali zapaswa kufanyika hapo!Je kuna tofauti kati ya mji mkuu na makao makuu ya nchi? Na je mji mkuu wa tanzania ni upi na makao makuu ni wap?
Mji mkuu ni mahali ambako shughuli nyingi za kiuchumi, kijamii na pengine kisiasa zinafanyika. Makao makuu ni mahali ambako shughuli za kisiasa na kiutawala kwa ujumla zinafanyika. Kwa muktadha wa Tanzania, mji mkuu ungali Dar es Salaam. Makao Makuu ya nchi ndiyo yapo Dodoma.Hakuna tofauti, mara nyingi makao makuu ya nchi yanakuwa katika mji mkuu! Hivyo basi mji mkuu ambao unakuwa makao makuu ya nchi shughuli zote kuu za serikali zapaswa kufanyika hapo!
Kwa tafsiri hiyo hapo juu, mji mkuu kwa Tanzania ni Dodoma na makao makuu pia, na ndiyo maana zinasikika harakati za kuhamishia shughuli kuu za serikali huko!!
Suala la dunia kuzunguka dunia siyo suala la imani, tayari imethibitishwa hivyo!!Tunaaminishwa kuwa dunia hulizunguka jua kutoka magharibi kwenda mashariki; lakini sijawahi kuta mlango wa ghetto langu umegeukia upande mwingine hata siku moja, kwa nini isiwe hivyo kama dunia hujizungusha kweli?
Maji ya bahari hayawezi kumwagika kwasababu ya nguvu ya uvutano kuelekea katikati ya dunia!!je kama dunia inazunguka kwann maji ya bahari hayamwagiki?
Kikubwa cha kufahamu ni kwamba mwanga wa jua una rangi tofauti tofauti japo kwa macho ya kawaida unaonekana ni white..Nini kinasababisha anga kuwavla blue na white?