Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Habari bwana Kichuguu. Uliniahidi baada ya sikukuu za mwisho wa mwaka nikukumbushe juu ya manual ya kiingereza ya gari tajwa hapo juu. Nadhani huu ndo muda mwafaka. Ahsante.
Habari bwana Kichuguu. Mimi nakumbushia tu ahadi uloniahidi. Uliniahidi baada ya sikukuu za mwisho wa mwaka nikukumbushe juu ya manual ya kiingereza ya gari tajwa hapo juu. Nadhani huu ndo muda mwafaka. Ahsante.
 
Professor kichuguu, hongera mingi sana kwako, na Mungu akubariki, ninaomba msaada gari yangu ni runx 1.5 ikifika spid 40 mlio unabadilika japo ni nyepesi na Ina nguvu,msaada pliz
 
Sawa; nitafuatilia wiki ijayo. Ila elewa kuwa karakana yetu iko Marekani na kuna baadhi ya magari ya kijapani ambayo hayafiki Marekani, hivyo manual zake hatuzipati. Hebu niambie tena model ya gari lako.
 
Swali lako ni gumu bila mimi mwenyewe kusikia mlio unabdiliake. Hata hivyo wasi wasi mkubwa sana ni kwenye gearbox yako. Inapbadilisha gear kwenda top gear inaweza kuwa inaweza mzigo mkubwa sana kwenye injini kuliko ilivyotegemewa
 
Kwanza hongera kwa kuamua kuwa msaada kwa wengine,Nina shida inakera sana katika gari yangu.
Gari yangu ni RunX huwa inatabia ya kujizima nikiwa barabaran,imenisababishia ajali mara moja na zingine nanusurika tu kwa maana gari hujizima nikiwa katika motion.
Nimejaribu kutafuta muafaka kwa sasa naelekea kukata tamaa,maana nimenunulishwa pump mpya bado tatizo lipo tu,mara naambiwa plug mara naambiwa umeme yaan shaghala baghala.

Naomba msaada wako au ushauri wa kitaalamu ili niepukane na keto hii maana kwa sasa Sina Raha kabisa na gari .
Ni zamani kidogo; je ulipata suluhu ya tatizo lako?
 
Sawa; nitafuatilia wiki ijayo. Ila elewa kuwa karakana yetu iko Marekani na kuna baadhi ya magari ya kijapani ambayo hayafiki Marekani, hivyo manual zake hatuzipati. Hebu niambie tena model ya gari lako.
Hii hapa
Toyota Succeed.
Model code: NCP59G-FWPLK
Vin: NCP590003329
Product date: 2002/10
 
Habari, nina Toyota Porte yangu

Niliiacha kwa muda kidogo Kama 1 month bila kuiwasha ila sasahivi nikiiwasha ina crank tu ila haipokei.

Nilimuita fundi akakagua plug zilikua Sawa, akakagua nozzle zilikua Sawa, anaangalia Kama mafuta yanafika sehemu husika, ndio yalikua yanafika

Akaangalia mfumo wa hewa pia though sio sana ila alisema Upo Sawa

Sasa mpaka sasa nashindwa kujua shida ni nini ila kwa historia tu hii gari haijawahi kushushwa engine wala kufanyiwa engine repair kubwa

Kwa sasa inapoteza sana oil kwasababu gasket seal (top cover seal) ilikua inavujisha oil sana ila bado sijabadilisha

Naomba kujua inaweza kua na changamoto gani ambayo bado hatujaangalia
 
Gari yangu Ni Toyota cheser GX100, Gari ikiwa imewaka kunamlio unatoka Kama mshale WA saa unavyotembea Kwa haraka, tatizo Ni nini?
 
Habari, nina Toyota Porte yangu

Niliiacha kwa muda kidogo Kama 1 month bila kuiwasha ila sasahivi nikiiwasha ina crank tu ila haipokei.

Nilimuita fundi akakagua plug zilikua Sawa, akakagua nozzle zilikua Sawa, anaangalia Kama mafuta yanafika sehemu husika, ndio yalikua yanafika

Akaangalia mfumo wa hewa pia though sio sana ila alisema Upo Sawa

Sasa mpaka sasa nashindwa kujua shida ni nini ila kwa historia tu hii gari haijawahi kushushwa engine wala kufanyiwa engine repair kubwa

Kwa sasa inapoteza sana oil kwasababu gasket seal (top cover seal) ilikua inavujisha oil sana ila bado sijabadilisha

Naomba kujua inaweza kua na changamoto gani ambayo bado hatujaangalia
kama uliizima na kuilock na mfumo wa alarm, ui unlock kwanza
 
Naomba kuelekezwa jambo , binafsi nauhitaji wa gari ndogo litakalo ni rahisishia safari zangu , sasa mpango wangu upo hivi kuna gari(Toyota Celica ) lipo kituo cha polis (maeneo yetu ) nahitaji kulinunua kama chuma chakavu arafu ni inunulie injini ndogo ambayo inaweza fit vizur na kuifunga then kuiboresha kidogo kidogo hadi ntakapo ona inatosha , sasa swali langu lipo hivi cost zake zitakua ni sawa na ukinunua gari nzima na ni injini gani itakua ni nzuri zaidi kwa body ya Toyota Celica?
 
Prof gari yangu ni mazda verisa..ilipata changamoto ya rejeta nimeibadili na kuweka mpya shida imekuja nimeiendesha kama km 10 hv nikakuta imekausha maji yote ingawa ndani mshale Wa joto unasoma normal na feni inazunguka vyema..naomba utatuzi boss
 
Habari, nina Toyota Porte yangu

Niliiacha kwa muda kidogo Kama 1 month bila kuiwasha ila sasahivi nikiiwasha ina crank tu ila haipokei.

Nilimuita fundi akakagua plug zilikua Sawa, akakagua nozzle zilikua Sawa, anaangalia Kama mafuta yanafika sehemu husika, ndio yalikua yanafika

Akaangalia mfumo wa hewa pia though sio sana ila alisema Upo Sawa

Sasa mpaka sasa nashindwa kujua shida ni nini ila kwa historia tu hii gari haijawahi kushushwa engine wala kufanyiwa engine repair kubwa

Kwa sasa inapoteza sana oil kwasababu gasket seal (top cover seal) ilikua inavujisha oil sana ila bado sijabadilisha

Naomba kujua inaweza kua na changamoto gani ambayo bado hatujaangalia
Umeshapata suluhu?
 
Back
Top Bottom