Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Nataka kununua gari ila linaonekana zee sana. Mwenyewe ananiambia kuwa injini ipo poa. Na mm sijawahi miliki gari hata siku moja. Gari lenyewe ni mark two. Nitajuaje kama gari ni zima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Thamani ya gari inategemea na umri pamoja na umbali ambao imekwishatembea. Halafu vile vile tafuta fundi akupipimie pressure ya kwenye cylinder, yaani compression ration. Hakikisha pressure ya clynder ni kiasi cha kutosha kulingana na aina ya injini yenyewe
 
Nina Suzuki escudo cc 1590 inatumia lita moja kwa km 6,nimeuliza wadau wakasema walau inatakiwa itumie lt moja kwa km 10.Nimfuatilia hata RPM yangu napoendesha haivuki 5 na kuipata 80 ni shida kwa sasa taa ya exhaust inawaka.Tatizo nini?Nianzie wapi ninapoenda kwa fundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina Suzuki escudo cc 1590 inatumia lita moja kwa km 6,nimeuliza wadau wakasema walau inatakiwa itumie lt moja kwa km 10.Nimfuatilia hata RPM yangu napoendesha haivuki 5 na kuipata 80 ni shida kwa sasa taa ya exhaust inawaka.Tatizo nini?Nianzie wapi ninapoenda kwa fundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unafikisha RPM 5000, na spidi haiongezeki basi transmission ya gari yako imekufa; haipandi zaidi ya gia namba mbili, yaani unaendeshea kwenye gia namba moja na namba mbili tu. Katika mtumizi ya kawaida gari haiwezi kufikisha RPM 4000, kwa kawaida inatakiwa iwe inabadilika katia ya 2500 na hadi 3500 tu. Kuhusu Exhaust ni kwamba ama catalytic converter yako imekufa au Oxygen sensors zake zimekufa. Fundi mwenye scanning too atakuangalilia ni kipi kilicho na matatizo. Kuna za Oxygen sensor mbili kwenye injini za wima, na sensor nne kwenye injini za V.

Tatizo la ya exhaust halina uhusianao kabisa na tatizo la injini kula mafuta mengi na kutokuwa na nguvu; hayo ni matatizo mawili tofauti kabisa.
 
Habari,
Gari yangu Aina Toyota spacio old model. Awali ilikuwa na tatizo la AC baada ya matengenezo likaibuka tatizo lingine ambalo nikiwasha AC alafu nitembee kwenye mwendo mrefu kidogo au nipite barabara yenye mashimo gari inazima na kwenye dashboard taa zinawaka na muda mwingine huzima ninaporudi reverse.
Pia Kama nisipowasha AC nikitembea safari ndefu kidogo taa ya high temperature Ina waka na nikipunguza speed kwa dakika kadhaa taa huzima na nikiongeza speed baada ya muda tena Ina waka. naomba ushauri wako.

Kama nimeelewa swali lako vizuri, inaonekana kuwa unasumbuliwa na mambo mawili tu. Kwanza ni kwamba kuna waya hazikufungwa imara wakati wa matengenezo, ama zimeachwa zimelegea ama zina kutu kwa hiyo hazishiki ipasavyo, kwa hiyo wakati wa mtikisiko zinakata umeme. Angalia zinaweza kuwa za waya za betri au za kwenye alternator. Halafu pili inawezekana injini yako haina maji (Coolant) ya kutosha; kama ina maji basi huenda water pump yako imeanza kuchoka; injini ikichoma mafuta kwa muda mrefu haipati maji ya kutosha kukata kiu yake.
 
Asante sana

Mkuu Kichuguu,
Gari yangu ni ist. Niliagiza Japan ikiwa na millage 55,000km na sijawahi kubadilisha transmission fluid(oil ya gear box).

Sasa mafundi wengi wanasema oil ya gear box unatakiwa ubadili pale unapo badili oil ya enjini au kutembea 5000km.

Gari yangu inashida napo shift gear kutoka P hadi R au D. Nikishift kunatokea mshindo mkubwa. Yani nikishift kutoka P hadi D unasikia mshindo wa gear mkubwa, vilevile kutoka R hadi D.

Sijajua tatizo ninini, au napaswa kubadili Oil ya gear box?

Pili, nikiwa kwenye safari ndefu may be nishatembea kama 200km hivi naweza kanyaga mafuta mpk mwisho lkn speed ikasoma 80kmph. Mpaka pale nitakapo kanyaga taratibu na kuisubiri ichanganye yenyewe ndio itafika hata 150kmph. Je hapa tatizo ninni mkuu?
Sina wasiwasi na pump kwakua ina miezi 3 tangu itoke japan na haijawahi niishia mafuta kusema nimeua pump.
-MAELEZO AWALI

Nina toyota IST na ilikuwa na tatizo hilo la kugonga unapobafili mwelekeo wa gari kutoka park kwenda drive au drive kwenda reverse na vice versa.. Yaani ilikuwa ni kero kubwa saana kwangu..
Mafundi walikuwa wanasema transmission oil ila nimebadili kuweka T-IV lakini tatizo lilikuwa palepale.
Nikakata tamaa na nikaweka plan za kununua transmition mpya(gearbox mpya).
Nikiwa najichanga kidogo nipate hiyo 400k ya trans mpya gari iliharibu cv joint.
Binafsi matatizo madogo madogo ya gari yangu huwa natengeneza mwenyewe ingawa sio fundi na sijasomea yaani vyote labda kasoro kufanya overhaul (ambayo sijawahi fanya na sina uzoefu nayo). Mwalimu wangu akiwa ni google na youtube.
sasa nilipokuwa nabadili cv joint nikawa nimeitoa axel yote ili nichomoe cv joint mbovu. Baada ya kupachika cv joint mpya nikataka kuongeza grease kwenye vikombe kala ya kuchomeka ile T connection ya kwenye axel.
Nilipokuwa naweka grease nikafeel kama kuna rough surface kwa ndani ya kile kikombe.
Nikachukua karai langu la mafuta nikalisafisha haswaa maana ukichomoa kikombe kwenye gearbox oil inaweza mwagika, na oil ya T-IV ni expensive.
Kuchomoa kile kikombe nikaona hakiko sawa kama kina magap kwenye kila shimo la T connector. Nikagoogle kuangalia kikombe kikoje kwa ndani bila mafanikio maana wenzetu cv ikifa naona wengi wanabadili axel nzima. Nikapanda bodaboda Nikaingia pale pamba road nikaulizia kikombe cha Toyota IST. Kilivyoletwa nikakicompare na changu nikaona changu ni holaaa yaani kina gaps kubwa balaa kwenye T connector. Nikaamua nigamble tu ifae isifae nione kitachotokea,Nikanunua vikombe viwili each 30k tu nikarudi nikapachika nikarudishia miguu poa kabisaa.
Gari ikatulia kabisaaaa hakuna kiiii wala nguuu nikaokoa 400k ya trans mpya

-SOLUTION

-Kagua vikombe vyako vyema katika axel na nina uhakika vimetanuka maana kuna jamaa yangu ana Raum nimemtengenezea na ikawa poa kabisa akanilipa kwa kulipia movie pale Rock city mall (ni jamaa yangu wa karibu)

-hakikisha vikombe vina grease ya kutosha na ile rubber boot imekaza ili isivujishe grease kabisaaa.

Huu ni ushauri wangu kwa expirience yangu

Haya kwa mwenye ujuzi na AC compressor anisaidie maana yangu imelock ukiwasha ac belt inachubuka tu.. Ninampango wa kuifungua niicheki

Pia nina mpango wa kutoa hydraulic power steering na kuweka electric power steering.. Nitawajuza zaidi juu ya hili

Kichuguu
Boeing 747

Binafai nikupongeze kwa juhudi ulizochukua mpaka ukafanikiwa kutatua tatizo...

Ndiyo kujifunza kwenyewe....
Pia naona ni jambo jema kwa kijana kujifunza utundu wa magari, si B kila kitu kupeleka kwa fundi...hii itakisaidoa usilale porini kwa tatizo dogo tu...
Amini usiamini kuna mtu anaweza kulala porini kisa hajui kubadili tairi lililopata pancha.....anasubiri watokee wqsamaria wamsaidie..

Big up..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-MAELEZO AWALI

Nina toyota IST na ilikuwa na tatizo hilo la kugonga unapobafili mwelekeo wa gari kutoka park kwenda drive au drive kwenda reverse na vice versa.. Yaani ilikuwa ni kero kubwa saana kwangu..
Mafundi walikuwa wanasema transmission oil ila nimebadili kuweka T-IV lakini tatizo lilikuwa palepale.
Nikakata tamaa na nikaweka plan za kununua transmition mpya(gearbox mpya).
Nikiwa najichanga kidogo nipate hiyo 400k ya trans mpya gari iliharibu cv joint.
Binafsi matatizo madogo madogo ya gari yangu huwa natengeneza mwenyewe ingawa sio fundi na sijasomea yaani vyote labda kasoro kufanya overhaul (ambayo sijawahi fanya na sina uzoefu nayo). Mwalimu wangu akiwa ni google na youtube.
sasa nilipokuwa nabadili cv joint nikawa nimeitoa axel yote ili nichomoe cv joint mbovu. Baada ya kupachika cv joint mpya nikataka kuongeza grease kwenye vikombe kala ya kuchomeka ile T connection ya kwenye axel.
Nilipokuwa naweka grease nikafeel kama kuna rough surface kwa ndani ya kile kikombe.
Nikachukua karai langu la mafuta nikalisafisha haswaa maana ukichomoa kikombe kwenye gearbox oil inaweza mwagika, na oil ya T-IV ni expensive.
Kuchomoa kile kikombe nikaona hakiko sawa kama kina magap kwenye kila shimo la T connector. Nikagoogle kuangalia kikombe kikoje kwa ndani bila mafanikio maana wenzetu cv ikifa naona wengi wanabadili axel nzima. Nikapanda bodaboda Nikaingia pale pamba road nikaulizia kikombe cha Toyota IST. Kilivyoletwa nikakicompare na changu nikaona changu ni holaaa yaani kina gaps kubwa balaa kwenye T connector. Nikaamua nigamble tu ifae isifae nione kitachotokea,Nikanunua vikombe viwili each 30k tu nikarudi nikapachika nikarudishia miguu poa kabisaa.
Gari ikatulia kabisaaaa hakuna kiiii wala nguuu nikaokoa 400k ya trans mpya

-SOLUTION

-Kagua vikombe vyako vyema katika axel na nina uhakika vimetanuka maana kuna jamaa yangu ana Raum nimemtengenezea na ikawa poa kabisa akanilipa kwa kulipia movie pale Rock city mall (ni jamaa yangu wa karibu)

-hakikisha vikombe vina grease ya kutosha na ile rubber boot imekaza ili isivujishe grease kabisaaa.

Huu ni ushauri wangu kwa expirience yangu

Haya kwa mwenye ujuzi na AC compressor anisaidie maana yangu imelock ukiwasha ac belt inachubuka tu.. Ninampango wa kuifungua niicheki

Pia nina mpango wa kutoa hydraulic power steering na kuweka electric power steering.. Nitawajuza zaidi juu ya hili

Kichuguu
Boeing 747

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu km ulivyoeleza...
Nimebadili transmission fluid type iv tena ile ya toyota lkn bado nasikia mshindo.

Fundi kasema itakua gear mount imekufa....

Kichuguu bado tatizo lashindo lipo palepale baada ya kubadili oil
 
Hebu jaribu kufuata ushauri wa JZHOELO
Nakumbuka gari langu lilipokuwa na miezi sita tu tangu nilinunue nilikuwa nikishift kutoka P kwenda R au D kuna mshindo wa kugonga unatoka tena mkunwa tu..
Wakati huo nilikuwa sina idea yoyote ya utundu wa magari...
Fundi akaniambia gear box mounting imekufa .tukaweka mpya na ile tuliyoitoa ilikuwa haina shida ....tatizo likabaki pale pale.

Nakumbuka siku moja fundi wa pancha anafungua tairi la mbele akaniambia wish bone bush imekatika...nikaiangalia nikajionea mwenyewe...

Nikanunua mbili moja kushoto na moja kulia kwa 15000/ @ tukapeleka kwenye pressing mashine tukaweka bush mpya....tatizo likaisha mpaka leo gari lina miaka 5 na nusu hiyo shida sijawahi kuisikia tena...Aina ya gari ni Nissan..

NOTE....
Si kila mshindo unatatuliwa kwa kubadili transmission fluid..
Jaribu kufanya ukaguzi wa kina kwenye vifaa vyote vya miguu ya mbele ikiwemo hivyo vikombe ulivyoshauriwa, bushes, suspension part na mouts zote...

Kwa nini nasema hivi, kama umebadili fluid, basi shida inaonekana haipo kwenye transmission, itakuwa eneo lingine hapo hapo kwenye sub frame ya mbele..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari yangu aina ya vitz zile za cc990 inatoa mliyo ambao siwakawaid nikiiwasha gari ikiwa kwenye silence(kama jenereta). huwa unasikika zaidi hasa ni kikanyaga mafuta lakini nikiwa speed kama 80 huwa siusikiki nimeuluza baadhi ya watu wanadai kuwa nicheni .but sinauwakika nao .kama ni cheni inawezakana kurekebishwa!

Ngoja nijibu post tatu zote hizo kwa pamoja kama ifuatavyo.

Ni kweli; kuwepo kwa backlash kubwa mahala popote kwenye system kati ya injini na mataili kutasababisha hiyo "bang" wakati wa kubadili mwendo. Backlash hiyo inaweza kuwa kwenye CV joints, kwenye kwenye gear box mounts (kama zipo kwani kuna magari mengoine hayana gearbox mounts), engine mounts, kwenye axle splines, au kwenye U-joints za propeller shaft. Lakini backlasha hizo hutokea tu wakati wa kubadili mwendo kati ya kwenda mbele na kurudi nyuma, yaani ukisimama, halafu baada ya hapo ukaondoka kuendelea na safari mbele kwa mbele backlash huwa siyo noticeable mpaka pale utakaporeverse. Ukisikia Bang hata wakati wa kutoka D kuingia N au kutoka R kuingia P basi tatizo ni gear box yenyewe, siyo backlasha ya nje kama nilivyosema hapo juu.

Kwa hiyo General Mangi, inawezekana mlioa wako unatokea pale tu unapotaka kwenda mbele au kurudi nyuma kiasi kuwa culprit ni backlash na mlio hautokei kwenye gear box. Iwapo ni engine mount basi mlio unatokea kwenye engine compartment na pia gari lako litakuwa lina vibrations nyingi. Ama sivyo inawezekana ni backlash kwenye sehemu nyingine ya driveline ambayo fundi mzuri anaweza kukukagulia badala ya kujaribujaribu
 
Back
Top Bottom