Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,510
- 9,349
Kuna original na genuine...ni Original mkuu
Sasa utaitambuaje bossKuna original na genuine...
Hata za kichina huwa na original kutokana na standard zao..
Genuine ni kama iliyotoka na gari....hakuna tofauti na inafanana mpaka part number na sometimes inasoma mpaka chasis number..
Part kuandikwa tu Toyota au Nissan haitoshi kuifanya iwe genuine bali yaweza kuwa original huko ilipitengenezwa..
Kuna sensor imekufa...gari yangu nikiendesha kwa muda taa ya check engine inawaka nikitoa terminal na kurudishia gari inawaka na taa inazima. ni tatizo gani?
Mara nyingi genuine parts huhitaji kubeba sample..Sasa utaitambuaje boss
Kafanye computer diagnosis mara moja usije ukajuta; usipoziba ufa utajenga ukuta! Kuondoa betri ni kufanya computer reset, lakini hakuondoi tatizo. Kuna matatizo mengine huwa ni madogo sana lakini yakiachwa kwa muda yanazaa matatizo makubwa zaidi.gari yangu nikiendesha kwa muda taa ya check engine inawaka nikitoa terminal na kurudishia gari inawaka na taa inazima. ni tatizo gani?
Fuel pump haisababishi matatizo unayosema; inaonekana kama vile injini haiunguzi mafuta vizuri, kwa hiyo ama haipati hewa ya kutosha au fuel pressure regulator haifanyi kazi sawasawa. Iwapo fuel pressure regulator imeshalegea, basi haiweki pressure ya kutosha kwenye injector na kufanya injectors zishindwe kuatomize mafuta ila zinadondosha matone ya kwenye cylinder mafuta na kusababisha yaungue kwa fujo. Lakini vile vile angalia sensor zako hasa ya aif flow sensor.Ninakushukru sana mkuu kwa maelekezo mrua.
Nilishabadili air cleaner tu.
Kuna fundi nilimshirikisha akanambia huenda ikawa ni fuel pump, nozzle, mounting na oxygen sensor.
Na gari ina km 200.000 kwa sasa, unashauri nibadilishe kitu gani ili liendelee kubaki kwenye hali yake?
Pia naomba kujua ni mafuta gani ya kuzibulia injector na wapi naweza yapata? Na kuna wakati ac inachelewa kufanya kazi hasa ninapokuwa nimepaki kwenye jua kwa muda mrefu.
Ngoja nifanyie kazi ushauri ulonipa kisha nilete mrejesho.
ac inachelewa kupoza mkuu. Samahani mkuu, naomba kujua kama una ofisi ya ufundi hususani kwa dar.Fuel pump haisababishi matatizo unayosema; inaonekana kama vile injini haiunguzi mafuta vizuri, kwa hiyo ama haipati hewa ya kutosha au fuel pressure regulator haifanyi kazi sawasawa. Iwapo fuel pressure regulator imeshalegea, basi haiweki pressure ya kutosha kwenye injector na kufanya injectors zishindwe kuatomize mafuta ila zinadondosha matone ya kwenye cylinder mafuta na kusababisha yaungue kwa fujo. Lakini vile vile angalia sensor zako hasa ya aif flow sensor.
Niliwahi kupost huko nyuma kuhusu mafuta hayo ya kusafishia injectors, nasikia yanapatikana kwenye vituo vingi vya mafuta kama Total.
View attachment 1240323
Kuhusu AC, je inachelewa kupooza au inachelewa kustart?
Shukrani mkuuMara nyingi genuine parts huhitaji kubeba sample..
Muuzaji ukimpa details za gari mfano
AIR FILTER
Make..NISSAN
Model..TIIDA
Year....2005
CHASIS NO....DBA E11
Details hizo akiingia nazo kwenye computer au stoo analeta spea yenye namba ile ile iliyokuja na gari..
Kwa makanjanja hawawezi kukuhudumia kwa kutumia deatails....watakudai sample ya spea iliyokufa....
Hakikisha namba za part unayonunua zinafanana na part unayotoa
Ungesema hio safari nzima ni Km ngapi na mafuta ya elfu 30 unapata lita ngapi ingekua rahisi watu kujua gari yako inakula Km ngapi per litre maana sio kila mtu anapajua dar.Mkuu mim nina Toyota mark 2 Gx 110,aisee linabwia mafuta,nimeweka mafuta ya 30,000 nimetoka nayo makumbusho mpaka tazara narud makumbusho taa ua mafuta inawaka
Mara nyingi genuine parts huhitaji kubeba sample..
Muuzaji ukimpa details za gari mfano
AIR FILTER
Make..NISSAN
Model..TIIDA
Year....2005
CHASIS NO....DBA E11
Details hizo akiingia nazo kwenye computer au stoo analeta spea yenye namba ile ile iliyokuja na gari..
Kwa makanjanja hawawezi kukuhudumia kwa kutumia deatails....watakudai sample ya spea iliyokufa....
Hakikisha namba za part unayonunua zinafanana na part unayotoa
Kwa huko ma mbele Voltz inaitwa Pontiac Vibe ndipo ataitambua kwa jina hilo.Nieleze namna unavyoifahamu Toyota Volts! Ni changamoto gani ilizonazo? Je ni gari imara?
Fuel pump haisababishi matatizo unayosema; inaonekana kama vile injini haiunguzi mafuta vizuri, kwa hiyo ama haipati hewa ya kutosha au fuel pressure regulator haifanyi kazi sawasawa. Iwapo fuel pressure regulator imeshalegea, basi haiweki pressure ya kutosha kwenye injector na kufanya injectors zishindwe kuatomize mafuta ila zinadondosha matone ya kwenye cylinder mafuta na kusababisha yaungue kwa fujo. Lakini vile vile angalia sensor zako hasa ya aif flow sensor.
Niliwahi kupost huko nyuma kuhusu mafuta hayo ya kusafishia injectors, nasikia yanapatikana kwenye vituo vingi vya mafuta kama Total.
View attachment 1240323
Kuhusu AC, je inachelewa kupooza au inachelewa kustart?
Engine oil 20W - 50oil ya kwenye kitu gani: gearbox, diff au injini
Pia check coil kama zote zinafanya kazi kama inavyotakiwa.Mkuu habari na hongera kwa kazi nzuri.
Nina shida na engine ya IZZ. Muungurumo wake umekuwa juu na pia kunakuwa na mlio wa kkkkkkk.
Fuel consuption imeongezeka tofauti na kawaida. Nimebadili plug lakini shida haijaisha bado.
Pia kunakuwa na vibration sana.
Ni mambo gani natakiwa kufanya na tatizo linaweza kuwa ni nini?
Hiyo ni kweli kabisa; inawezekana ignition coil kadhaa zimekufa hivyo cylinder nyingine hazichomi mafuta au cable zake zimechoka. Lakini nadhani pi angeshapata check engine light codes P0300 mpaka P0306Pia check coil kama zote zinafanya kazi kama inavyotakiwa.