Kama mzazi wako ni muajiriwa sekta binafsi alaf pale kwenye fomu ukajaza mzazi wako ni peasant, vp kuna uwezekano wa bodi kugundua?habari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana
1.UDSM
2.UDOM
3.SUA
4.MZUMBE
5.IFM
6.TIA
7.CBE
8.DIT
9.MUST
10.MWALIMU NYERERE.
We boya unajiunga ili uopoe mademu πππ tuna reset linkhaya magrupu ya chuo yanakuwaga na mademu kinoma. ngoja nijiunge