Niulize chochote kuhusu Gamboshi jiji la wachawi

Niulize chochote kuhusu Gamboshi jiji la wachawi

Spiritual Peregrinus

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2020
Posts
222
Reaction score
441
Hali njema iwe nanyi;

Ni mwaka mzima sasa nipo Mkoa wa Simiyu wilaya ya Bariadi Dc. Ni kiliomita 30 kutoka Makao makuu ya mkoa wa Simiyu mpaka kuifikia kata ya Nguliati, ilipo njia panda ya kuelekea kijiji cha Gamboshi jiji la wachawi.

Nipo huku kwa muda wa mwaka mzima, nimejichimbia huku kwa lengo la kumtoa ndugu yangu aliyefanywa msukule. Ndugu yangu huyo alifariki kwa ajali ya gari, baada ya miezi 6 ya kifo chake alitokea rafiki yangu mmoja aliyeajiliwa kijijini Gamboshi kama mwalimu, kudai amekutana mara nyingi na ndugu yangu huyo ambaye ni marehemu.

Alidai alimwona akiwa katika mavazi ya kijeshi na alimwambia kuwa wana task force huko kwa kuwa kabla ya umauti kumfika alikuwa akifanya kazi jeshini.

Kwa muda wote niliokaa huku nimejionea na kujifunza mengi. Hivo kabla sijaeleza mkasa wa huyo ndugu mpaka nikaescape,naomba mniulize chochote kuhusu Gamboshi, jiji lenye maajabu ya kutisha. Wanakopatikana WANYANTUZU watu mix ya msukuma na mmasai.
 
Thread Hii Ni Marudio Tu
Habari Ya Gamboshi Ipo Humu Jamiiforums.com
Imejadiliwa Na Upana
 
U
Hali njema iwe nanyi;

Ni mwaka mzima sasa nipo Mkoa wa Simiyu wilaya ya Bariadi Dc. Ni kiliomita 30 kutoka Makao makuu ya mkoa wa simiyu mpaka kuifikia kata ya Nguliati, ilipo njia panda ya kuelekea kijiji cha Gamboshi jiji la wachawi.

Nipo huku kwa muda wa mwaka mzima,nimejichimbia huku kwa lengo la kumtoa ndugu yangu aliye fanywa msukule.Ndugu yangu huyo alifariki kwa ajari ya gari,baada ya miezi 6 ya kifo chake alitokea rafiki yangu mmoja aliye ajiliwa kijijini Gamboshi kama mwalimu, kudai amekutana mala nyingi na ndugu yangu huyo ambaye ni marehemu.

Alidai alimwona akiwa katika mavazi ya kijeshi na alimwambia kuwa wana task force huko Kwa Kuwa Kabla ya umauti kumfika alikua akifanya kazi jeshini.

Kwa muda wote nilio kaa huku nimejionea na kujifunza mengi.Hivo kabla sijaeleza mkasa wa huyo ndugu mpaka nikaescape,naomba mniulize chochote kuhusu Gamboshi, jiji lenye maajabu ya kutisha. Wanako patikana WANYANTUZU watu mix ya msukuma na mmasai.
Unategemea kumtoa ndugu yako kwa njia za maombi kwa Yesu Kristo au unatumia uganga wa kienyeji?
 
Pana bahari mkuu? Maana mie usafiri wangu ni wa meli tu, hata baiskeli sipandi!
 
Back
Top Bottom