Niulize chochote kuhusu Gamboshi jiji la wachawi

Niulize chochote kuhusu Gamboshi jiji la wachawi

mwambie huyo mzee akupigie ramli.
"Muulize member mjingamimi anaishi wapi".
akikujibu njoo unijibu na mimi.
 
Siwezi kurudi tena kwa yule mzee,moja ya masharti aliyo nipa ni kwamba niwe tayari kulala ndani ya kaburi siku tatu ndipo nitatoka na ndugu yangu.Ivo nilishindwa so ulicho nituma sitatekeleza MCHUKUA FOM
 
Uchawi upo wakuu ndio maana hata kwao bi mkubwa kunaitwa Nyamikoma hatuendagi kabisa.Kuna uncle wangu alifariki 2007 alikuwa tour guide . Walivamiwa wakiwa porini akiwa na watalii bahati mbaya akaleta ubishi akauawa. Lakini cha kushangaza baada ya kuzikwa kuna watu walikuja kumuona kando kando ya ziwa akitembea tembea.Kabla ya kifo chake alikwenda kusalimia kijijini na inasemekana aliondoka na mkosi wa kifo kutoka kwa mama yake wa kambo ( bibi yangu).
 
Hali njema iwe nanyi;

Ni mwaka mzima sasa nipo Mkoa wa Simiyu wilaya ya Bariadi Dc. Ni kiliomita 30 kutoka Makao makuu ya mkoa wa Simiyu mpaka kuifikia kata ya Nguliati, ilipo njia panda ya kuelekea kijiji cha Gamboshi jiji la wachawi.

Nipo huku kwa muda wa mwaka mzima, nimejichimbia huku kwa lengo la kumtoa ndugu yangu aliyefanywa msukule. Ndugu yangu huyo alifariki kwa ajali ya gari, baada ya miezi 6 ya kifo chake alitokea rafiki yangu mmoja aliyeajiliwa kijijini Gamboshi kama mwalimu, kudai amekutana mara nyingi na ndugu yangu huyo ambaye ni marehemu.

Alidai alimwona akiwa katika mavazi ya kijeshi na alimwambia kuwa wana task force huko kwa kuwa kabla ya umauti kumfika alikuwa akifanya kazi jeshini.

Kwa muda wote niliokaa huku nimejionea na kujifunza mengi. Hivo kabla sijaeleza mkasa wa huyo ndugu mpaka nikaescape,naomba mniulize chochote kuhusu Gamboshi, jiji lenye maajabu ya kutisha. Wanakopatikana WANYANTUZU watu mix ya msukuma na mmasai.
Hakuna mixture ya msukuma na mmasai hapo usituzalilishe bhana ntuzu
 
Niko serious mkuu mara ya mwisho nimeenda huko raisi alikwua ana kichwa cha jogoo,na mkia kama wa tausi halafu anataka kufanana mamba kwa umbo. Ila ilikuwa zamani mwaka 2009. Kulikuwa na usafiri wa train na ndege nilifikia kwenye apartment flani zilikuwa katikati ya mji. Sema kilichonitoa mapema misosi yao sikuielewa kabisa


😀😀😀😀
 
Niko serious mkuu mara ya mwisho nimeenda huko raisi alikwua ana kichwa cha jogoo,na mkia kama wa tausi halafu anataka kufanana mamba kwa umbo. Ila ilikuwa zamani mwaka 2009. Kulikuwa na usafiri wa train na ndege nilifikia kwenye apartment flani zilikuwa katikati ya mji. Sema kilichonitoa mapema misosi yao sikuielewa kabisa
Kwa hiyo mzee baba ulikuwa mchawi wa cheo gani kule?

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom