Niulize chochote kuhusu Gamboshi jiji la wachawi

Niulize chochote kuhusu Gamboshi jiji la wachawi

Niliambiwa kuna mzee wa hukohuko anautaalam wa kuwafufua misukule.Ndiyo maana nilia maguu
Hebu weka story yako yote mkuu. Kuanzia huyo ndugu yako kuwa msukule, kumzika,jinsi ulivyopata habari yuko ghambosh,kwenda kwako ghambosh,kuanza kuonana na wachawi,kuanza mitikas ya kumrudisha nduguyo hivyo hivyo

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Hali njema iwe nanyi;

Ni mwaka mzima sasa nipo Mkoa wa Simiyu wilaya ya Bariadi Dc. Ni kiliomita 30 kutoka Makao makuu ya mkoa wa simiyu mpaka kuifikia kata ya Nguliati, ilipo njia panda ya kuelekea kijiji cha Gamboshi jiji la wachawi.

Nipo huku kwa muda wa mwaka mzima,nimejichimbia huku kwa lengo la kumtoa ndugu yangu aliye fanywa msukule.Ndugu yangu huyo alifariki kwa ajari ya gari,baada ya miezi 6 ya kifo chake alitokea rafiki yangu mmoja aliye ajiliwa kijijini Gamboshi kama mwalimu, kudai amekutana mala nyingi na ndugu yangu huyo ambaye ni marehemu.

Alidai alimwona akiwa katika mavazi ya kijeshi na alimwambia kuwa wana task force huko Kwa Kuwa Kabla ya umauti kumfika alikua akifanya kazi jeshini.

Kwa muda wote nilio kaa huku nimejionea na kujifunza mengi.Hivo kabla sijaeleza mkasa wa huyo ndugu mpaka nikaescape,naomba mniulize chochote kuhusu Gamboshi, jiji lenye maajabu ya kutisha. Wanako patikana WANYANTUZU watu mix ya msukuma na mmasai.
Hivi bado raisi wa Gamboshi ni yule jamaa mwenye kichwa kama cha jogoo niliyemuacha mwaka 2009 au ashabadirishwa?
 
😀😀😀😀😀hivi huu uzi mumekuja kutuchekesha au mna ajenda gani?
Niko serious mkuu mara ya mwisho nimeenda huko raisi alikwua ana kichwa cha jogoo,na mkia kama wa tausi halafu anataka kufanana mamba kwa umbo. Ila ilikuwa zamani mwaka 2009. Kulikuwa na usafiri wa train na ndege nilifikia kwenye apartment flani zilikuwa katikati ya mji. Sema kilichonitoa mapema misosi yao sikuielewa kabisa
 
Back
Top Bottom