Niulize chochote kuhusu DUCE

Kumbe bei za vyakula ni nafuu sana, nitasomea masters yangu hapo. Mi tayar nipo mzgon huku vijijin. Msome mkijiua mshaara wa mwalimu haukidhi mahitaji na mazngra ya kazi ni magumu unafika mahali unaona kama ulipoteza muda wako kusomea ualimu. Nawatakia masomo mema.
 

kwann sasa hv mwl level ya degree mnapokea sh.ngap?
 

Utaratibu wa bill una mpa pesa yako then utakua unakula chakula unachokitaka wewe halaf unakuwa unaandika kwenye daftari so kama siku haukula bill hisomi kwa hiyo wala haina madhara
 

kwan mshahara Wa mwalim level ya degree ni sh.ngap?
 
 
Ni chuo changu but kipo kushoto xana, unaweza kuja ukaondoka bila hata kujua posta...ushamba mwingi, uongozi wa kupupet kushobokea admn, dean of student ndio majanga anajifanya kuwa na power zaidi ya Mukandara...mliochagua njooni but lazima mjue hayo.
 
Utaratibu wa bill una mpa pesa yako then utakua unakula chakula unachokitaka wewe halaf unakuwa unaandika kwenye daftari so kama siku haukula bill hisomi kwa hiyo wala haina madhara

Shukran ndugu kwa majibu mazuri Nimetambua umuhmu wako humu jf
 

kwanin mkuu watu bize sana nin
 
panajitahidi kwa gharama ,hapo bado hujagombana na konda km umepangiwa offcampus hostels ,ni shidah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…