Niulize Chochote Kuhusu (CLINICAL NEDICINE)

Niulize Chochote Kuhusu (CLINICAL NEDICINE)

Habari Wadau Kwa Mwenye Maulizo Yoyote Kuhusu Course Ya Clinical Medicine (CO & CA)
Usisite Kuuliza Hapa:
1. Admission
2. Modules
3. Mikopo
4. Life La Kitabu
5. Maswali
6. Ushauri
7. Msaada Wowote.
clinical nedicine ndo nini?!
 
Mikopo Inapatikana!! Via Global Funds! Na Ninavyojua Wanapata Wa Serikalini Tu! Ambapo Kama Last Year Walilipiwa Ada + Matumizi 520,000/= Ya Chakula Per Semester.
nipe link yao ama mawasiliano yao pia na namna ya kupata mikopo
 
Hii course ya clinical medicine inarelate kivipi na "AMO " mkuu??
 
Back
Top Bottom