Niulize chochote kuhusu Bukoba

Niulize chochote kuhusu Bukoba

We huko halmashauri gan yenye mapato?
Sasa inajengwa wapi wakati miradi ya serikali hii imesimama karibia yote alafu unasema inajengwa thubutu. Kama ile shule ya Ihungo tumeijenga kwa mchango ambao na mimi nilichangia huoni nyinyi mmekwisha kabisa
 
Kwani Bukoba kuna shule Tu?

Juzi Tu hapa wamefungua tena bandari ya Bukoba ikiwa na terminal ya kisasa au nayo unataka picha?

Bukoba airport,kaitaba stadium, Bukoba cathedral na mengine kibao kama barabara zote za mji kuwa na lami.
 
infact ntapambana mpaka nifike bukoba,,,niliambiwa wana ardhi nzuri ya kilimo,actuary,,,
Vibarua wa kukusaidia kulima lazima uwatafute mikoa ya jirani maana wenyeji ni wavivu watu wa Pwani wana nafuu!
 
Kwani Bukoba kuna shule Tu?

Juzi Tu hapa wamefungua tena bandari ya Bukoba ikiwa na terminal ya kisasa au nayo unataka picha?

Bukoba airport,kaitaba stadium, Bukoba cathedral na mengine kibao kama barabara zote za mji kuwa na lami.
Weka picha leo sitaki kuuharibu huu uzi kabisa.
 
Naomba ufafanuzi kuhusu KagaTech (Kagera Technology)
 
Vipi kuhusu wale wakata makolomelo tayali wameshanyongwa au bado
 
Weka picha leo sitaki kuuharibu huu uzi kabisa.
Kwann BUKOBA imechakaa sana? Sio miundombn sio uchumi?
Swali la nyongeza
Kwnn watu wa bukoba ni wabishi/wajuaji sana wakati mkoa wao ni wa 3 kwa umaskini ?
Interesting parts of Bukoba town
1c6458a30aa25a8d77d5a6203077eeb7.jpeg
images%20(4).jpeg
images.jpeg
images%20(8).jpeg
images%20(5).jpeg
Screenshot_20190621-163717.jpeg
FB_IMG_15600046113675193.jpeg
FB_IMG_15608834323604568.jpeg
images%20(2).jpeg
 
huyu jamaa ni mhaya wala si mgeni huku.Umesifia mabinti weee lakini husemi kasoro zao.eg kutoa harufu mbaya
 
Mbona unatukana wadada na mama za watu kuwa wananuka?

Ulaaniwe utumbo uliokuzaa
Huwezi kumlaani aliyekwisha kubarikiwa tangu kuwekwa kwa misingi ya dunia hii.Kama hjui ninachokisema kamsome jamaa mmoja kwenye biblia anaitwa Baalamu,alijaribu kuwalaani waliokwisha kubarikiwa akajikuta amefeli vibaya
 
Back
Top Bottom