luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,927
Amesha déclaré yeye ni docta anawahudumiaWe kabila gani lenye wanawake wasafi na wananukia?
Ila ukubali we ni malaya ulijuaje wananuka?
Amesha déclaré yeye ni docta anawahudumiaWe kabila gani lenye wanawake wasafi na wananukia?
Ila ukubali we ni malaya ulijuaje wananuka?
Amesha déclaré yeye ni docta anawahudumia
Mkuu hawa watu mshipa wa aibu ulishakatika,mkoa wao ni wa 3 kwa umaskini lkn wqnavyo ji proud utashangaa,je wangekuwa wa 2 kwa maisha bora sijui tungepita wapi
Ni washamba hatar
Amekwambia yeye Ni mtu wa idara ya afya means anahudimia kias kikubwa hao wanawake
Kwahyo habahatishi anachosema
Asante Sana Dr kwa kusema ukweli
Nawaomba Hawa wahaya waje Moshi tuwafundshe usafi
Hakuna hasiyekufahamu kuwa wew ni haya hater.hivyo wengi hawakushangai!!!Hahahaha pamoja na kuwa na "mimaji"
We ndo umeuliza swali la msingi Sana .Nyaruju ni nini? Kwa nini wanaiheshimu sana?
Nilienda uchagani nilivyo sema wana pasi nyuma walikuja karibia wote malangu machame moshi kama sio mazoezi kwa kipigo walicho nipa sijui kama ningetoka salamaMbona Una manundu
Wahaya toka enzi walikuwa wana tambika kwenye kijumba walicho jenga pembeni kama ilivyo kwa makabila mengine walitambika kwenye mitiNyaruju ni nini? Kwa nini wanaiheshimu sana?
hapana mkuu utapeli, dhuruma za ardhi na kupenda sana kesi ipo kwenye DNA za wahaya, wanazaliwa nayo!Hivi ni kweli kuwa uko Bukoba kuna chuo kinachofundisha utapeli na dhuruma za ardhi?
hapana mkuu utapeli, dhuruma za ardhi na kupenda sana kesi ipo kwenye DNA za wahaya, wanazaliwa nayo!
Unajifanya hujui matambiko yenu?We ndo umeuliza swali la msingi Sana .
Hata Mimi natamani kujua