Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,954
- 8,148
- Thread starter
- #21
Kwa vigezo vyangu chura mguu plus urefu number 8 na saa 6Unatumia vigezo gani ku identify msichana mzuri na mbaya ?
Kwa vigezo vyangu chura mguu plus urefu number 8 na saa 6Unatumia vigezo gani ku identify msichana mzuri na mbaya ?
Hao ndo watatuletea ebola sasa...Ndio zile zile sema Kampala ni nafuu zaidi kwenye nguo na viatu na bidhaa nyingi za hapa Bukoba zinatoka ug yakiwemo mafuta ya kula
Hiyo haiwezekani kutoka BUKOBA mpaka Kampala ni mwendo wa saa 5 na waliwai kupata miaka ya nyuma lakini haijawai kufika BukobaHao ndo watatuletea ebola sasa...
Mkuu Umesahau kuwa ukimwi umeanzia huko huko?Hiyo haiwezekani kutoka BUKOBA mpaka Kampala ni mwendo wa saa 5 na waliwai kupata miaka ya nyuma lakini haijawai kufika Bukoba
Tetemeke lililetwa na nani?Nipo hapa Bukoba Mjini kwa miaka miwili sasa niulize chochote kuhusu huu mji...
Hapana umegundulika hapa hila nyanda za juu kusini ndio penyewe ndio sehemu hatalishi wamepakana na nchi zenye mambukizi makubwaMkuu Umesahau kuwa ukimwi umeanzia huko huko?
Kugundulika c ndo kuanzia...Hapana umegundulika hapa hila nyanda za juu kusini ndio penyewe ndio sehemu hatalishi wamepakana na nchi zenye mambukizi makubwa
Bukoba hipo kwenye ukanda wa tetemoko plus na Dodoma hill ni suala la maumbile ya nchi na tetemoko ni ngumu kulijua na hakuna technology ya kutabiri tetemeko mkuuTetemeke lililetwa na nani?
Umeanzia USA ukaingia FranceKugundulika c ndo kuanzia...
Skin colour haina uzito kwenye vigezo vyako ?Kwa vigezo vyangu chura mguu plus urefu number 8 na saa 6
Aisee hata mimi nikiona chura za kihaya huku Moro moyo unasisimuka. Je hizo OG za huko. Na miguu yao ile.Kwa vigezo vyangu chura mguu plus urefu number 8 na saa 6
Ni kweli Wahaya wanapenda sana lugha yao kila mahali wanazungumza Kihaya wana feel proud ata hiwe mahakamani maofsini ata hawe profesa usipojua au kuongea kihaya unaonekana wa ovyo..Kuhusu chakula ukiingia kwenye migahawa vyakula vyote vipoEti ni kweli hayo mabwenga yakiingia kwenye migahawa uanaongea kikwao tu na msosi ni ndizi tu
Wote wa Afrika hawe maji ya kunde au black au white haina shida hili mradi vigezo vyangu vipoSkin colour haina uzito kwenye vigezo vyako ?
PamojaWote wa Afrika hawe maji ya kunde au black au white haina shida hili mradi vigezo vyangu vipo
Huku wengi wakifika asa vijana ni ngumu kutoka kwa sababu mademu kama hao kwa dar wakifika wanakuwa ni classic hila hapa wapo wengi sanaAisee hata mimi nikiona chura za kihaya huku Moro moyo unasisimuka. Je hizo OG za huko. Na miguu yao ile.
YapEt huko kuna mdem wenye asili ya kitusi?