instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,613
- 19,827
Unajifanya musoma biblia.Huwezi kumlaani aliyekwisha kubarikiwa tangu kuwekwa kwa misingi ya dunia hii.Kama hjui ninachokisema kamsome jamaa mmoja kwenye biblia anaitwa Baalamu,alijaribu kuwalaani waliokwisha kubarikiwa akajikuta amefeli vibaya
Kwani unawatukana wanawake kuwa wananuka.